K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

Zamani mimi mwenyewe nilijua Jack mhaya, wahaya wanatamani kila mtu maarufu awe wa kwao the same tu wachaga, haya makabila Nyerere Aliya hofia sana
We acha hiyo kabisa. ...WANAWAKE WA KICHAGA TUNA HEKIMA NA BUSARA. ..
 
Hao ni wengi sana, unapopoteza uwezo wa kujiamini mara nyingi utumia vyeo, pesa, Elimu kuwa siraha ya kukubalika kwenye jambo lolote.
Mwanaume ongea watu watakujaji kwa uwezo wako kuchanganua mambo.

Bora Mimi ambaye huwa nawaambia tu ukweli Mademu wote ninaowatongoza kuwa ni choka mbaya, sina ajira, mali na nipo nipo tu lakini nina utajiri ambao hata Bill Gates hana ambao ni wa " mahaba " na kweli wakijaribu wanakutana na huo ukweli hivyo sasa mtaji wangu umekuwa ni huu huu " mkuyenge " wangu na kwakweli ukweli wangu badala ya kuwa fedheha kwangu sasa Mademu wengi wananipenda kwa kuwa mkweli kwao na sasa " natiririka " nao hadi nawachoka.

Wanaume wenzangu tuweni wakweli kwa hawa Dada zetu na tuache maisha ya " filamu " ambayo kiuhalisia hatunayo na baadae tukija kuwa nao hawa Mademu wanakuja kuona " ukapuku " wetu na tunaumbuka. Tena Mademu wengi wanapenda mno Mwanaume mkweli na hakuna raha kama kupendwa au kukubaliwa na Mwanamke ambaye ulimweleza ukweli wa " ukapuku " wako. Namshukuru Mwenyezi Mungu katika hili nimefanikiwa kwa kuwa mkweli kwao.
 
Klyn namwombea awe hakumuumiza roho yule mke wa Mengi wa kwanza maana binadamu malipo ni hapa hapa duniani. ..naye ana watoto .....aombe sana kwa MWENYE ENZI MUNGU. ...mke wa kwanza akiangusha chozi lake huwa linafika moja kwa moja kwa MAULANA. .ehh MOLA wangu tuongoze. ..wazungu wanasema 'what goes around comes around ' ... ndiyo maana dini nyingine zina waheshimu sana wake wa kwanza na hata makabila mengine pia, tena huwa wanaomba kibali cha kuoa maana wanaelewa bila blessings za bi mkubwa ni kutwanga maji kwenye kinu...WATCH AND PRAY

Sasa kosa la K-Lyn hapo ni lipi? Kwani ni K-Lyn ndiyo alimtongoza " Mipua " au " Mipua " ndiyo alijipendekeza kwa Mtoto wa Kihaya na Kichagga aliyeumbwa na kuumbika? Wakati mwingine ' what goes around comes around ' huwa " what goes around goes forever ".
 
Ndio nampenda tu,mke wa obama alijua mmewe atakuja awe raisi wa dunia?mama salma Kikwete je?mama janeth Maguful ,mi nawapenda makapuku
Hao wote uliowata hamna aliekuwa kapuku. Au sijui maana ya kapuku
 
Niliwahi sikia kwamba aliyekuwa mke wa Mengi alishatangulia mbele za haki sijui ni kweli
 
Sasa kosa la K-Lyn hapo ni lipi? Kwani ni K-Lyn ndiyo alimtongoza " Mipua " au " Mipua " ndiyo alijipendekeza kwa Mtoto wa Kihaya aliyeumbwa na kuumbika? Wakati mwingine ' what goes around comes around ' huwa " what goes around goes forever ".
Wishful thinking. ....
 
Mke wa kwanza wa Mengi yupo wapi?au alikuwa bado hajaoa!
Hapo ndio mi huwa nashangaa unafiki wa sie binaadamu...ukifikisha miaka arobaini na tano hujaoa watakunanga mpaka ukose hamu ya kuishi...lakini ukioa mapema na baadae ukaacha na kuoa mwingine wanaona umefanya sawa sawa.

Sasa lipi bora....kusubiri mpaka utakapokuwa tayari ndio uoe unayempenda, au uoe mapema kuepuka maneno ili baadae ukiwa fiti umuache na kutafuta 'spring chicken' wa taste yako?
 
Niliwahi sikia kwamba aliyekuwa mke wa Mengi alishatangulia mbele za haki sijui ni kweli
HEBU TEMA MATE CHINI! NI UWONGO WA HALI YA JUU. ...NAOMBA KESHO JUMAPILI UENDE KANISA LA AZANIA FRONT MISA YA SAA TATU, UTAMKUTA KAJAA TELE MAMA WA KIMACHAME TENA NI MZEE WA KANISA NI MPOLE NA NI MAMA MWENYE HEKIMA NA BUSARA. ...WITH A SMILE IN HER FACE!
 
Waliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona.
Aliyeanzisha alikuwa nani? utakuta Mzee ndiye alilianzisha na alipoona ngumi zinakuja mfululizo akaamua kuwa Filbet Bayi.
 
Jack hayupo kama hao viruka njia bana hata robo hawafikii mtoto Wa watu amelelewa kiheshima sana classical chezea wahaya

wewe hakuna kitu cha ajabu alichokifanya Jack ukikinganisha na kawaida ya adolescent age ambayo wote wanapitia sisi tunaongelea hawa ajuza wetu ambao hawataki kubadilika na umri.
Kwani Familia za kihaya ndio Classic Family. Hao wahaya si ndio familia zilizokuwa zinzongoza kwa kuuza papuchi?
 
Back
Top Bottom