Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Ndo maana biblia inasema.....mke wa ujana wako..Mtu anaeweza hayo ni mke wa kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana biblia inasema.....mke wa ujana wako..Mtu anaeweza hayo ni mke wa kwanza.
Lakini mama Mercy Mengi amevumilia mengi kama jina lao, mwacheni apumzike mama wa watu, speed za mzee ni mwendo kasi.Ndo maana biblia inasema.....mke wa ujana wako..
Nikifika hapo ndiyo vinatisha...uwìiiiii!Ndo maana biblia inasema.....mke wa ujana wako..
Ndo maana namuomba Mungu sn anisaidie plus kizazi changu!Nikifika hapo ndiyo vinatisha...uwìiiiii!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo.la wema ni hapo
Hachagui habagui
Angetafuta danga lake la maana atie heshima dar
Wolper nae kashaona huku kwa watu wazima anazinguliwaOnly CK ndo danga lake la ukwee...wengine wote vitoto na futureless, ila wote funika bovu ni Wolper asee...kile kitoto si kinanuka maziwa halafu kidunchu hata kiganjani hakitoshii[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahaaaaa wolper katisha
Halafu anavyojibebisha hadi aibh
Yap i wish angemsikiliza mange alivyomshauri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaani yule mpk anakera
Mange anampaga facts sana wema
Wolper nae kashaona huku kwa watu wazima anazinguliwa
Maana si kwa kupigwa chini Kyle
Kakiperemba kile kimakonde maskini hadi huruma
Kale katoto hakana hata akili yaani
Anataka makuu wakati mziki wenyewe kaanza juzi looohh!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Wolper nae anachuna balaa!!
Full kumkomesha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wolper nae majanga tu!Yap i wish angemsikiliza mange alivyomshauri
Sio kijanaume mkigombana anakuja mwaga ujinga insta na snap...
Wolper alivurugwa na mkongo hahah
Nope. ...huwa zina kuwa na mikosi juu ya mikosi. ...kweli MOLA ATUONGOZE!Ndo maana namuomba Mungu sn anisaidie plus kizazi changu!
Asije mke/mwanamke yyt akalia sbb nimemuingilia ndoa yake kwa namna yyt ile!
Ht mtu aliyedivorce kwakweli sipendi kabisa...coz i knw Agano ktk ulimwengu wa roho bado lipo na ni shida sn ndoa za hivi hawaeez tu kukwambia ukweli.
Mungu anaangalia neno lake apate kulitimiza!
Na....amesema neno lake halitamrudia....
Uwiiiiiiii .....hivi tumetoka nje ya mada[emoji124] [emoji124]
Hahahahaha daaah watu "umbea" ndio hobby zenu.Mwenzangu!!ndo nimetoa[emoji101] [emoji101] ma [emoji15] [emoji15] kusikiliza umbea!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe jeee...?!!Hahahahaha daaah watu "umbea" ndio hobby zenu.
Waajiriwa Wa shilawadu
Wema ni "Mali ya Umma"Tatizo.la wema ni hapo
Hachagui habagui
Angetafuta danga lake la maana atie heshima dar
acha uwongo na udhalilishaji kwa watu wenye heshima zao sio vizuriWaliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona.
Hahahahahahah[emoji14][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe jeee...?!!
Nasubiri mbebes uniweke ndani nianze kuitwa madame!!![emoji108] [emoji108]
Hapo sawa mbebes wangu yaani!!Hahahahahahah[emoji14]
Usihofu soon twala ubwabwa.
Utakuwa Melinda gates
Bongo hakutakuwa na mwenye levo yako[emoji3]
Wolper mtamu nyie hamujui .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaani yule mpk anakera
Mange anampaga facts sana wema
Wolper nae kashaona huku kwa watu wazima anazinguliwa
Maana si kwa kupigwa chini Kyle
Kakiperemba kile kimakonde maskini hadi huruma
Kale katoto hakana hata akili yaani
Anataka makuu wakati mziki wenyewe kaanza juzi looohh!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Wolper nae anachuna balaa!!
Full kumkomesha
Tutafungua foundation kabisaHapo sawa mbebes wangu yaani!!
Nataka nifungue charity centre..!!!
Halafu nimesikia ikulu inakua maumbusho mi ntaomba wanipangishe au watuuzie kabisa!
Baby....bila kusahau matikiti!!tuwekeze sana tu!Tutafungua foundation kabisa
Itaitwaa Geniveros Foundation wewe mwenyewe na MD wake
Itajuhusisha na kufufua kilimo cha mihogo kule mkuranga
Wema kama kweli kapata bilionea Arusha atulie nae tu ale maisha aachane na usanii afanye kazi alizosomea shuleni