K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

Nikifika hapo ndiyo vinatisha...uwìiiiii!
Ndo maana namuomba Mungu sn anisaidie plus kizazi changu!
Asije mke/mwanamke yyt akalia sbb nimemuingilia ndoa yake kwa namna yyt ile!

Ht mtu aliyedivorce kwakweli sipendi kabisa...coz i knw Agano ktk ulimwengu wa roho bado lipo na ni shida sn ndoa za hivi hawaeez tu kukwambia ukweli.

Mungu anaangalia neno lake apate kulitimiza!
Na....amesema neno lake halitamrudia....

Uwiiiiiiii .....hivi tumetoka nje ya mada[emoji124] [emoji124]
 
Tatizo.la wema ni hapo

Hachagui habagui

Angetafuta danga lake la maana atie heshima dar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaani yule mpk anakera
Mange anampaga facts sana wema
Only CK ndo danga lake la ukwee...wengine wote vitoto na futureless, ila wote funika bovu ni Wolper asee...kile kitoto si kinanuka maziwa halafu kidunchu hata kiganjani hakitoshii[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wolper nae kashaona huku kwa watu wazima anazinguliwa
Maana si kwa kupigwa chini Kyle

Kakiperemba kile kimakonde maskini hadi huruma
Kale katoto hakana hata akili yaani

Anataka makuu wakati mziki wenyewe kaanza juzi looohh!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Wolper nae anachuna balaa!!
Full kumkomesha
Hahaaaaa wolper katisha

Halafu anavyojibebisha hadi aibh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaani yule mpk anakera
Mange anampaga facts sana wema

Wolper nae kashaona huku kwa watu wazima anazinguliwa
Maana si kwa kupigwa chini Kyle

Kakiperemba kile kimakonde maskini hadi huruma
Kale katoto hakana hata akili yaani

Anataka makuu wakati mziki wenyewe kaanza juzi looohh!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Wolper nae anachuna balaa!!
Full kumkomesha
Yap i wish angemsikiliza mange alivyomshauri

Sio kijanaume mkigombana anakuja mwaga ujinga insta na snap...

Wolper alivurugwa na mkongo hahah
 
Yap i wish angemsikiliza mange alivyomshauri

Sio kijanaume mkigombana anakuja mwaga ujinga insta na snap...

Wolper alivurugwa na mkongo hahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wolper nae majanga tu!
Mchaga sijui wa wapi!!

Wema needs to grow the problem ni kua hana marafiki wa kweli

Mange ana mapungufu yake Ila ndo mtu ambae anampa facts peke yake!
 
Ndo maana namuomba Mungu sn anisaidie plus kizazi changu!
Asije mke/mwanamke yyt akalia sbb nimemuingilia ndoa yake kwa namna yyt ile!

Ht mtu aliyedivorce kwakweli sipendi kabisa...coz i knw Agano ktk ulimwengu wa roho bado lipo na ni shida sn ndoa za hivi hawaeez tu kukwambia ukweli.

Mungu anaangalia neno lake apate kulitimiza!
Na....amesema neno lake halitamrudia....

Uwiiiiiiii .....hivi tumetoka nje ya mada[emoji124] [emoji124]
Nope. ...huwa zina kuwa na mikosi juu ya mikosi. ...kweli MOLA ATUONGOZE!
 
Tatizo.la wema ni hapo

Hachagui habagui

Angetafuta danga lake la maana atie heshima dar
Wema ni "Mali ya Umma"

Hata akifikisha 60 nitamchovya tu[emoji3]

Kutimizia ile Sera ya ujamaa socialist policy of public ownership of property

No exploitation between man by man[emoji3]
 
Waliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona.
acha uwongo na udhalilishaji kwa watu wenye heshima zao sio vizuri
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe jeee...?!!

Nasubiri mbebes uniweke ndani nianze kuitwa madame!!![emoji108] [emoji108]
Hahahahahahah[emoji14]

Usihofu soon twala ubwabwa.

Utakuwa Melinda gates

Bongo hakutakuwa na mwenye levo yako[emoji3]
 
Hahahahahahah[emoji14]

Usihofu soon twala ubwabwa.

Utakuwa Melinda gates

Bongo hakutakuwa na mwenye levo yako[emoji3]
Hapo sawa mbebes wangu yaani!!

Nataka nifungue charity centre..!!!

Halafu nimesikia ikulu inakua maumbusho mi ntaomba wanipangishe au watuuzie kabisa!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaani yule mpk anakera
Mange anampaga facts sana wema

Wolper nae kashaona huku kwa watu wazima anazinguliwa
Maana si kwa kupigwa chini Kyle

Kakiperemba kile kimakonde maskini hadi huruma
Kale katoto hakana hata akili yaani

Anataka makuu wakati mziki wenyewe kaanza juzi looohh!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Wolper nae anachuna balaa!!
Full kumkomesha
Wolper mtamu nyie hamujui .

Yule mtoto Wa kichagga anakata viuno balaa

Sasa mmakonde atachomokaje
 
Hapo sawa mbebes wangu yaani!!

Nataka nifungue charity centre..!!!

Halafu nimesikia ikulu inakua maumbusho mi ntaomba wanipangishe au watuuzie kabisa!
Tutafungua foundation kabisa

Itaitwaa Geniveros Foundation wewe mwenyewe na MD wake

Itajuhusisha na kufufua kilimo cha mihogo kule mkuranga
 
Spot The Difference. Miss Tanzania Mmoja Kaolewa Na Ana Watoto Na Amefungua Decor,List Ya Wanaume Waliogonjoa Iko Private Na Wala Picha Akiliwa Mate Wala Akishikwa Kimahaba. Miss Tanzania Mwingine Hajaolewa Hana Mtoto Anaazunguka Tanzania Nzima Kuandaa Vigoma Ana First Eleven Na Subs Ya Wagonjoaji wanaojulikana Publicly Na Picha Ndo Dooh
 
Tutafungua foundation kabisa

Itaitwaa Geniveros Foundation wewe mwenyewe na MD wake

Itajuhusisha na kufufua kilimo cha mihogo kule mkuranga
Baby....bila kusahau matikiti!!tuwekeze sana tu!

Nna mpango tunnue eneo la Masaki tujenge kiwanda cha kutengeneza pipi!
 
Back
Top Bottom