K Lyn afunguka kuhusu maisha yake na muziki

Mi nilijua utaelezea jinsi mengi alivyokutongoza ilikuwaje na siku ya kwanza ku do ilikuwaje, unatuletea habar za watoto na mzik mxiuuu

Teh Teh we jamaaa...
 
Hahahahaa sipati picha mzee anatongozaje jamani!
Basi nimekumbuka mzee mmoja lecture alimtongoza mwanafunzi mwenzetu eti katika sound zake alimuambia "NIMEKUPENDA ULIVYO MREFU KAMA MBUNI"
Hili jambo kila nikilikumbuka hua nacheka sana.

HUyo lecture katisha, nazijua izo swaga, mara una kiuno lain kama nyigu, mwendo wako kama kobe, mara unasura kama mbuzi khaa mi siwez aiseh
 
HUyo mwandishi sijui yupo field, maswal gan hayo? Badala angemuuliza mengi akikushika wapi unadata, na mnaendag magol mangapi ye anauliza upuuz mxiuuu
 
HUyo mwandishi sijui yupo field, maswal gan hayo? Badala angemuuliza mengi akikushika wapi unadata, na mnaendag magol mangapi ye anauliza upuuz mxiuuu

Teh Teh hawana ujanja huo watakuwa wana muogopa mzee machache maana mzee anapenda ligi huyo...wanajua
 
Hahahahaa sipati picha mzee anatongozaje jamani!
Basi nimekumbuka mzee mmoja lecture alimtongoza mwanafunzi mwenzetu eti katika sound zake alimuambia "NIMEKUPENDA ULIVYO MREFU KAMA MBUNI"
Hili jambo kila nikilikumbuka hua nacheka sana.

Teh Teh huyo lecturer ni muongo...eti daaa kama mbuni.....hiyo kali
 
Afanye mziki halafu video iweje?Mzee machache hawezi kuvumilia kumuona 'baby' anakumbatiwa sijui nini kama kwenye nalia kwa furaha au nipe mkono.
Binamu nawe ndio nini kutaka kujua machejo ya mzee?..lol

Siku hiyo kitanuka kwanza kwa hadhi ya Mengi ...Kyln hawezi fanya hivyo kabisa...
 
"Life ban ya muziki" mkuu anajua tuu atachapiwa.
 
Hahahahaa sipati picha mzee anatongozaje jamani!
Basi nimekumbuka mzee mmoja lecture alimtongoza mwanafunzi mwenzetu eti katika sound zake alimuambia "NIMEKUPENDA ULIVYO MREFU KAMA MBUNI"
Hili jambo kila nikilikumbuka hua nacheka sana.

Hahahahaaaaaa....Nimecheka sana..!!
 
Hahahahaa sipati picha mzee anatongozaje jamani!
Basi nimekumbuka mzee mmoja lecture alimtongoza mwanafunzi mwenzetu eti katika sound zake alimuambia "NIMEKUPENDA ULIVYO MREFU KAMA MBUNI"
Hili jambo kila nikilikumbuka hua nacheka sana.

hahahahahah
 
Aliniachaga hoi kyln siku moja kapost Mengi na mapacha wake kaandika status flan kuwa hwa three boys ndio sababu ya furaha Yake
Kweli pesa mwanaharamu yule babu mwenzetu amuona boy atiii
 
Hawezi sema, ila alikuwaga muwindaji classic! unakumbuka ule usemi wa ukienda kariakoo utakutana na wa kariakoo na ukienda kempinsk utakutana na wanene. Sasa bidada enzi hizo most of the time alikuwa anaendaga lunch movenpick yani mara kibao. Mwenyewe ukimuona kauparaa alikuwa anapiga visuti vya kiofisi vikalii na mafaili juu, jamani mujini mipango. Shost wangu huyu simlipuwi bali ndo hivyooo umbea waniwasha babu eeh….

basi mida ya lunch enzi hizo movenpick palikuwa panajaa hatareee wee nguvu yako tuu wangine wanasubiri giza liingie wafanye mitoko ya dinner mwenzenu akha! na ndo alikompatia machache manake mr machache alikuwa hakosekani lunch pale kipindi hicho.

Hata jini kisirani alishatoaga gazeti refuuu kule u turn blog jinsi ya kupata lisamaki likubwa.
 
Afadhali umetupa umbea mwenzangu maana mimi nilidhani mwenzetu kaangukiwa na bahati ya mtende kumbe alihustle?

Hapo kwenye red hata mimi niliikubali sana ile article yake.Ujue Mange yuko smart upstairs tatizo ni hayo maugomvi yake ndio yanayonikera.
Hata hivyo baniani mbaya, kiatu chake dawa ndio Mange huyo.
 
HUyo lecture katisha, nazijua izo swaga, mara una kiuno lain kama nyigu, mwendo wako kama kobe, mara unasura kama mbuzi khaa mi siwez aiseh

Hahahahaa sasa binamu kama huziwezi wifi yetu ulimpataje/utampataje? Au wewe nae unatumia pesa kama akina machache?
 
tena alihustle sanaa manake huwa hapendi waswahili kabisaa yeye zake ilikua ni wazungu tuu ndio mana hakuweza kukaa na jimmy kabwe , kinje ilikuwa na mambo ya fwedha na jina hapa kwa mr machache ndo kigoma mwisho wa reli pesa ni sabuni ya rohoo!! kwa jinsi namjua wallah kama sio pesa wala asingethubutu kumpa hi huyu babu wee ana nyodo flani na wanaume weusi ila kwa mzee wa machalari kasurrender chezea franga wewe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…