Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Mi nilijua utaelezea jinsi mengi alivyokutongoza ilikuwaje na siku ya kwanza ku do ilikuwaje, unatuletea habar za watoto na mzik mxiuuu
Teh Teh we jamaaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nilijua utaelezea jinsi mengi alivyokutongoza ilikuwaje na siku ya kwanza ku do ilikuwaje, unatuletea habar za watoto na mzik mxiuuu
Hahahahaa sipati picha mzee anatongozaje jamani!
Basi nimekumbuka mzee mmoja lecture alimtongoza mwanafunzi mwenzetu eti katika sound zake alimuambia "NIMEKUPENDA ULIVYO MREFU KAMA MBUNI"
Hili jambo kila nikilikumbuka hua nacheka sana.
HUyo mwandishi sijui yupo field, maswal gan hayo? Badala angemuuliza mengi akikushika wapi unadata, na mnaendag magol mangapi ye anauliza upuuz mxiuuu
Hahahahaa sipati picha mzee anatongozaje jamani!
Basi nimekumbuka mzee mmoja lecture alimtongoza mwanafunzi mwenzetu eti katika sound zake alimuambia "NIMEKUPENDA ULIVYO MREFU KAMA MBUNI"
Hili jambo kila nikilikumbuka hua nacheka sana.
Afanye mziki halafu video iweje?Mzee machache hawezi kuvumilia kumuona 'baby' anakumbatiwa sijui nini kama kwenye nalia kwa furaha au nipe mkono.
Binamu nawe ndio nini kutaka kujua machejo ya mzee?..lol
Hahahahahahaha binamu we mbeya
Hahahahaa sipati picha mzee anatongozaje jamani!
Basi nimekumbuka mzee mmoja lecture alimtongoza mwanafunzi mwenzetu eti katika sound zake alimuambia "NIMEKUPENDA ULIVYO MREFU KAMA MBUNI"
Hili jambo kila nikilikumbuka hua nacheka sana.
miss uu hnyyy

Hawezi sema, ila alikuwaga muwindaji classic! unakumbuka ule usemi wa ukienda kariakoo utakutana na wa kariakoo na ukienda kempinsk utakutana na wanene. Sasa bidada enzi hizo most of the time alikuwa anaendaga lunch movenpick yani mara kibao. Mwenyewe ukimuona kauparaa alikuwa anapiga visuti vya kiofisi vikalii na mafaili juu, jamani mujini mipango. Shost wangu huyu simlipuwi bali ndo hivyooo umbea waniwasha babu eeh .
basi mida ya lunch enzi hizo movenpick palikuwa panajaa hatareee wee nguvu yako tuu wangine wanasubiri giza liingie wafanye mitoko ya dinner mwenzenu akha! na ndo alikompatia machache manake mr machache alikuwa hakosekani lunch pale kipindi hicho.
Hata jini kisirani alishatoaga gazeti refuuu kule u turn blog jinsi ya kupata lisamaki likubwa.
HUyo lecture katisha, nazijua izo swaga, mara una kiuno lain kama nyigu, mwendo wako kama kobe, mara unasura kama mbuzi khaa mi siwez aiseh
Siku hiyo kitanuka kwanza kwa hadhi ya Mengi ...Kyln hawezi fanya hivyo kabisa...
Teh Teh huyo lecturer ni muongo...eti daaa kama mbuni.....hiyo kali
tena alihustle sanaa manake huwa hapendi waswahili kabisaa yeye zake ilikua ni wazungu tuu ndio mana hakuweza kukaa na jimmy kabwe , kinje ilikuwa na mambo ya fwedha na jina hapa kwa mr machache ndo kigoma mwisho wa reli pesa ni sabuni ya rohoo!! kwa jinsi namjua wallah kama sio pesa wala asingethubutu kumpa hi huyu babu wee ana nyodo flani na wanaume weusi ila kwa mzee wa machalari kasurrender chezea franga wewe??Afadhali umetupa umbea mwenzangu maana mimi nilidhani mwenzetu kaangukiwa na bahati ya mtende kumbe alihustle?
Hapo kwenye red hata mimi niliikubali sana ile article yake.Ujue Mange yuko smart upstairs tatizo ni hayo maugomvi yake ndio yanayonikera.
Hata hivyo baniani mbaya, kiatu chake dawa ndio Mange huyo.