K Lyn afunguka kuhusu maisha yake na muziki

tena alihustle sanaa manake huwa hapendi waswahili kabisaa yeye zake ilikua ni wazungu tuu ndio mana hakuweza kukaa na jimmy kabwe , kinje ilikuwa na mambo ya fwedha na jina hapa kwa mr machache ndo kigoma mwisho wa reli pesa ni sabuni ya rohoo!! kwa jinsi namjua wallah kama sio pesa wala asingethubutu kumpa hi huyu babu wee ana nyodo flani na wanaume weusi ila kwa mzee wa machalari kasurrender chezea franga wewe??

Hapo sasa.Nakumbuka aliwahi kusema kua hayuko interested na wanaume weusi sasa sijui mzee machache nae ni mzungu?
Au uzungu wa pesa?
 
Atulie tu alee ndoa maana mengi hatkagi mchezooo
 
na kweli jamaa hataki mchezo unajua alikuwa ashapigwa kibuti na vitu vyake katolewa nje? sema siku chache baadaye akagundua kuwa ama mimba ya mzee ndo ikawa salama yake akarudishwa mjengoni bila ya wambea kujua kama bishost kibuti kilimpitia ashukuru mimba ilimuokoa sana vinginevyo kina mo dewji wangeelea kujisevia.
 
Heee! Kwani alifanya nini hadi akapigwa kibuti? Au alichepuka?
Mwenzangu na wale watoto ndio wanaomuweka mujini maana wanavyofanana na mzee ni hatariii.
 
Hhhhaaaaaaàaaaa kumbeee mi navyoumuonaga tu yaan hapendi upuuzi haswa kwenye swala la kuchepuka
 
Hawezi sema, ila alikuwaga muwindaji classic! unakumbuka ule usemi wa ukienda kariakoo utakutana na wa kariakoo na ukienda kempinsk utakutana na wanene. Sasa bidada enzi hizo most of the time alikuwa anaendaga lunch movenpick yani mara kibao. Mwenyewe ukimuona kauparaa alikuwa anapiga visuti vya kiofisi vikalii na mafaili juu, jamani mujini mipango. Shost wangu huyu simlipuwi bali ndo hivyooo umbea waniwasha babu eeh….

basi mida ya lunch enzi hizo movenpick palikuwa panajaa hatareee wee nguvu yako tuu wangine wanasubiri giza liingie wafanye mitoko ya dinner mwenzenu akha! na ndo alikompatia machache manake mr machache alikuwa hakosekani lunch pale kipindi hicho.

Hata jini kisirani alishatoaga gazeti refuuu kule u turn blog jinsi ya kupata lisamaki likubwa.

Ndio hivyoo kila sehemu na mazingira yake kwelii ukienda vigodoroni utapata wa vigodorooo,kweli kabisaa
 
Heee! Kwani alifanya nini hadi akapigwa kibuti? Au alichepuka?
Mwenzangu na wale watoto ndio wanaomuweka mujini maana wanavyofanana na mzee ni hatariii.

EEh jaman roho inapwita, kumbe alifukuzwa? JAman khaaa nilipitwaje mbona angekoma
 
Hata mimi ndio nimesikia leo binamu, tusione watu wanakula bata mjini hapa, wanateseka na wao.
Naona mzee hanaga mchezo kabisa.
 
kwenye picha Mengi anamwambia bibie "mbona wanitazama,kisha waanza kulia,,,,,,, " dah
 
Duh!zama hizi kutongoza kwa kutumia mashairi ya wimbo wa rangi ya chungwa inakuwa ngumu.
 
Ngumu sana, pochi yako ndiyo itakayokupa matokeo mazuri.
Ila sio wote, bado wapo wanawake wema.
 
Duh!zama hizi kutongoza kwa kutumia mashairi ya wimbo wa rangi ya chungwa inakuwa ngumu.

Ahahahah akina chige ndo wanaweza hayo mashairi, demu wa chige anakoma kwa maneno, sijui kwenye pesa yupo hvyo hvyo
 
Last edited by a moderator:

Duh! Yaani Mpwa unanijua kishenzi! Yaani in short ukiona natongoza demu halafu sijawahi kumwamgia mistari fahamu fika kwamba simpendi na sina mpango nae!! Kuhonga ni faradhi na wala sio sunna lakini hata nihonge vipi mashairi yapo pale pale!!! Sitanii mpwa...
 
Yaliyomo yamo lakini? SIo maneno mengi kumbe engine haifanyi kazi, hahahh ahah natania
 
Mpwa muulize Heaven on Earth... kuna siku humu humu jamvini nilimwomba tufanye practical experiment fulani hivi... nikamtajia aina ya test tube zitakazotumika kwenye hiyo practical... bwaha eh, wacha atoke nduki... hadi sasa akiniona kwenye uzi hasogei... ndo kwanza ananitishia eti n'na kesi!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom