Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Amen.Jamii ni social judges,ukiolewa na mtu mzee..
.akafariki uko guilty!....ndivyo ilivyo,
the same kwa wasioolewa,waliozalia nyumbani et
c...…………………………...tunawa label na kuona kama second class citizens hawapaswi kuwa na sauti…
.ila akina Regina no mater how ndoa ya baba yenu iliwaumiza,amezaa na baba yenu,wale ni wadogo zenu...na msiunderestimate the happiness Jack brought to your dad,even though it was short lived...