Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Anasema haka kajamaa kanajitutumua sana. Lakini ni kama kamedharaulika tu watu hawakaoni. Kila siku kanatoa matamko na takwimu za kipuuzi za kichawa mpaka mwenyewe anasema haka katoto kanafanya propaganda za kituko.
Huyu mwongeaji ni MwanCCM kada mwandamizi ambage ana na amekuwa na nafasi kubwa sana Chamani na Serikalini. Nimaona labda ni chuki zake tu kwa bw. Kafulila.
Huyu mwongeaji ni MwanCCM kada mwandamizi ambage ana na amekuwa na nafasi kubwa sana Chamani na Serikalini. Nimaona labda ni chuki zake tu kwa bw. Kafulila.