Nyikanavome
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 487
- 181
Ndugu wana JF wenzangu; nipo hapa morogoro kikazi na nilibeba vimoderm vyangu viwili; sasa kale ninakokategemea sana kuperuzi huku JF kamenigomea siku ya pili sasa- ka eateli 3.75G . Nimewasiliana na huduma kwa wateja nawauliza tatizo wananiletea longolongo. Vipi kuna mtu mwingine mwenye tatizo hilo? Sasa hivi natumia TTCL