Ka eateli 3.75 G Kangu hakafanyi kazi leo siku ya pili hapa Morogoro

Nyikanavome

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
487
Reaction score
181
Ndugu wana JF wenzangu; nipo hapa morogoro kikazi na nilibeba vimoderm vyangu viwili; sasa kale ninakokategemea sana kuperuzi huku JF kamenigomea siku ya pili sasa- ka eateli 3.75G . Nimewasiliana na huduma kwa wateja nawauliza tatizo wananiletea longolongo. Vipi kuna mtu mwingine mwenye tatizo hilo? Sasa hivi natumia TTCL
 
tatizo upo matombo kaka...nenda pale morogoro hotel..itanasa fresh tuu
 
Nipo Moro town kabisa lakini usumbufu mtupu; Hata hiyo TTCL hata You tube huwezi kuangalia video

tatizo upo matombo kaka...nenda pale morogoro hotel..itanasa fresh tuu
 
Me niko Kinondoni na Modem yangu ya Tigo haifanyi kazi tangu juzi.
Airtel ndo haitaki kbs.
 
Hamia vodacom! Me mwenyewe airtel ilishanizingua kitambo bora hata hiyo tigo!

Me niko Kinondoni na Modem yangu ya Tigo haifanyi kazi tangu juzi.
Airtel ndo haitaki kbs.
 
Kwa sasa TTCL wapo juu kama mawingu.
 
Nyikanavome nafikili kutokana na geographical area ya Morogoro inachangia, pia aina ya kifurushi ulicho nunua maana usitegemee speed ya anaenunu bandle kama 2GB iwe sawa na wewe unaelipa mia 500 kwa siku nayo inaweza ikawa sababu, ukayachanganya yote ni lazima internet itakusumbua, Binafsi hua natumia Voda na Zantel ila kwa Moro vyote hua vinazingua.
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri moro hawajaweka kipau mbele kwa mtandao sababu kuna watu niko nao moderm zao zinalipiwa bundle na mashirika yao na bado zinasumbua. Pengine na Jografia nayo inachangia kama ulivyosema Manoah
 
Kinacho changia hasa ni geographical area ya hapo kwa asilimia kubwa mawasiliano ya internet kua mabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…