Barikiwa sana kama huna wivu na hasira uko vizuriπππHakuna kitu cha ovyo kwenye mapenzi kama wivu!.....Mimi niko tayari kushare papuchi kuliko niwe na kitu kinachoitwa wivu!!
Sasa mbona mkewe ana jitetea hadi anamwambia akakague daftari la mahudhirio kazini kwake ataona siku hiyo aliandika kuingia kazini, lakini bado mzee kafura tu ana sisitiza kuwa dada alikuwa Mombasa Kenya kama alivyorusha picha ile!!!Yawezekana jamaa anaamini kuwa alipoenda mombasa watu wameutumia mtandao pendwa wa ti.go na ndio hicho kinachomuuma zaidi pengine.
Kisichokua na umuhimu kwako kinaweza kua na umuhimu kwa mwingine,na chenye umuhimu kwako kinaweza kikawa hakina umuhimu kwa mwingine,acha kupangia watu vitu vya kuandika.Niliwahi Kusema "Kuna mambo si lazima/Hayana umuhimu Kuyapost Humu"!
Kama wewe ni mwanamme, iwe fundisho kwake usiwe na hasira za haraka harakaUmbea
Huyo si ana tabia kama za huyo mtoa talaka ndio maana "ameni maindi" hahahahahahaKisichokua na umuhimu kwako kinaweza kua na umuhimu kwa mwingine,na chenye umuhimu kwako kinaweza kikawa hakina umuhimu kwa mwingine,acha kupangia watu vitu vya kuandika.
Ndo maana huwa sipendi kupost mapicha popote labda ya tukio maalum,mie ni keKama wewe ni mwanamme, iwe fundisho kwake usiwe na hasira za haraka haraka
Rafiki wewe haupo tayari kushare dushe?Mmmh ngumu kumeza hii
Mie ninachoona ni kwamba mzee wake ana wivu kupita kiasi, halafu sio mtaalamu sana mitandao na pia ana maamuzi ya haraka haraka.Ndo maana huwa sipendi kupost mapicha popote labda ya tukio maalum,mie ni ke
mmmh!Rafiki wewe haupo tayari kushare dushe?
Ngoja nimuite mwenyewe Beef Lasagna asome comment yakoNimekupenda bure na hili lingefaa umfundishe Beef Lasagna , hii ndiyo JF si utoto kumuonesha mtu aliyekuona hufai kuwa naye hafai
Sawa yawezekana kabisa dada wa watu hakwenda huko, ila jamaa anaamini kuwa kaenda.Sasa mbona mkewe ana jitetea hadi anamwambia akakague daftari la mahudhirio kazini kwake ataona siku hiyo aliandika kuingia kazini, lakini bado mzee kafura tu ana sisitiza kuwa dada alikuwa Mombasa Kenya kama alivyorusha picha ile!!!
Uko sahihi,ila naamini yataisha baadae, wanaume wa fani hizi wengi wao sio wataalamu wa mitandaoMie ninachoona ni kwamba mzee wake ana wivu kupita kiasi, halafu sio mtaalamu sana mitandao na pia ana maamuzi ya haraka haraka.
Ni bahati mbaya, lakini hata mie nimejifunza kitu kupitia lililompata nesiNaona wengi mnamlaumu huyo mume aliyetoa talaka,na nyie wadada muache maisha ya maigizo,una edit uonekane ulikua Mombasa ili iweje? kwanini usiishi maisha unayoishi? huko FB ndio maana sitaki hata kupajua,upuuzi mtupu.
Sawa yawezekana kabisa dada wa watu hakwenda huko, ila jamaa anaamini kuwa kaenda.Sasa mbona mkewe ana jitetea hadi anamwambia akakague daftari la mahudhirio kazini kwake ataona siku hiyo aliandika kuingia kazini, lakini bado mzee kafura tu ana sisitiza kuwa dada alikuwa Mombasa Kenya kama alivyorusha picha ile!!!
Wanaume wapunguze ukali, mweee!!!!Uko sahihi,ila naamini yataisha baadae, wanaume wa fani hizi wengi wao sio wataalamu wa mitandao
Nipo tayari ...hata nisipokua tayari lazima ntashea nipo tayari kwa kweli haizuilikiRafiki wewe haupo tayari kushare dushe?
hahahha, nimecheka kama mazuriSawa yawezekana kabisa dada wa watu hakwenda huko, ila jamaa anaamini kuwa kaenda.
Na vile mombasa inaaminika kwa ufir.a.ji yawezekana jamaa ndio kaamua kuachana nae akiamini mkewe kafumuliwa *******.
Mie nina wivu sana sitaki kushareππNipo tayari ...hata nisipokua tayari lazima ntashea nipo tayari kwa kweli haizuiliki
Ukikataa ya wazi ya sirisiri utaipataMie nina wivu sana sitaki kushareππ