Ka edit picha yake, matokeo yake kapewa talaka

Yeah... kama unakula vya watu, shurti na vyako viliwe... Yani unapenda ule tu kwani wenzio hawali? Lazima na wao wale...

Sina maana hiyooo....
🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Mkuu Ebu Tupiako Kapicha Tuone Kalivyokuwa Kameeditiwa

Huwenda Nikamuonyexha Huyo Bi Dada Chumba Cha Kupanga Huku Kitaa Kwetu
 
Kila MTU na mfumo wake mkuu Mimi ukiniona wa nini , na Mimi nakuona wa kazi gani! Huo ndio mfumo wangu.
Sawa tu ila katika maisha lazima watu kama nyie muwepo ili mambo yaende sawa ingawa kwa bahati mbaya na siye tupo ambao ni ngumi kwa ngumi. Binafsi niliumia sana maana personal attack kwa mtu haipendezi. Tupo hapa kusocialise na ndiyo maana tunatumia majina ya ajabu. Ubarikiwe
 
Dada yule alikuwa ame mu add mumewe FB wakawa ni marafiki.
Dada pamoja na mumewe niwatumishi wa umma idara ya afya.
Mumewe akawa amepata safari ya zaidi ya mwezi mmoja humu humu ndani ya nchi.
Yule dada akawa amepost picha kwenye ukurasa wake wa FB, picha ambayo ame ifanyia editing halafu akaandika yuko Mombasa Kenya.
Mumewe kaona ile picha, kumbuka yuko safarini hayuko nyumbani.
Bwana yule baada ya kurudi safari, alimuuliza mkewe Mombasa alienda kufanya nini? Dada kajitahidi kumuelewesha kwamba ni picha tu ame edit, lakini mwanamme anasisitiza kuwa wataalamu wa IT wamemwambia kuwa, itakuwa ni kweli alikuwa Mombasa Kenya.
Dada amefika mbali hadi kumwambia mumewe kuwa akaangalie kwenye daftari la mahudhurio kazini siku hiyo ataona kwamba alikuwa kazini, lakini mzee hataki kuamini kuwa mkewe hakuwa Mombasa Kenya.
Hadi ninatuma huu uzi bidada anatafuta chumba cha kupanga.
😡😡😡

"HUYO NI MWANAUME SASA"
 
Ndo raha ya insta hiyo
 
Back
Top Bottom