ibby
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 415
- 585
are u married boss!!Hakuna kitu cha ovyo kwenye mapenzi kama wivu!.....Mimi niko tayari kushare papuchi kuliko niwe na kitu kinachoitwa wivu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
are u married boss!!Hakuna kitu cha ovyo kwenye mapenzi kama wivu!.....Mimi niko tayari kushare papuchi kuliko niwe na kitu kinachoitwa wivu!!
Mimi huwa natembea na wake za watu kwa hiyo hata kama wa kwangu akiliwa ni fair pia!are u married boss!!
Hongera !!kama hujaowa sina la kukwambia !![emoji40][emoji40][emoji40]Mimi huwa natembea na wake za watu kwa hiyo hata kama wa kwangu akiliwa ni fair pia!
Nimeoa!Hongera !!kama hujaowa sina la kukwambia !![emoji40][emoji40][emoji40]
Hamna mtu alieowa anaweza kutoa kauli kama hizoo!!Nimeoa!
Sasa mkuu kama mimi huwa nakula wake za watu kwa nini wa kwangu akiliwa nilalamike?.....nitakuwa natenda haki kweli??!Hamna mtu alieowa anaweza kutoa kauli kama hizoo!!
Ni kweliMshenga acha basi story
😳😳😳Sasa mkuu kama mimi huwa nakula wake za watu kwa nini wa kwangu akiliwa nilalamike?.....nitakuwa natenda haki kweli??!
hahhahhahha, wee Daud wewe, najua tu ulichokuwa unataka kumalizia hahahahahahsasa ndiyo anede mombasa kweli.
Nyani haoni mkunduwe...Ila ni kweli kabisa. Unavyosema
Kwa Mara ya kwanza napigana kisa ulevi - JamiiForums
Yeah... kama unakula vya watu, shurti na vyako viliwe... Yani unapenda ule tu kwani wenzio hawali? Lazima na wao wale...Hakuna kitu cha ovyo kwenye mapenzi kama wivu!.....Mimi niko tayari kushare papuchi kuliko niwe na kitu kinachoitwa wivu!!
🙄🙄🙄🙄🙄🙄Yeah... kama unakula vya watu, shurti na vyako viliwe... Yani unapenda ule tu kwani wenzio hawali? Lazima na wao wale...
Sina maana hiyooo....
Sawa tu ila katika maisha lazima watu kama nyie muwepo ili mambo yaende sawa ingawa kwa bahati mbaya na siye tupo ambao ni ngumi kwa ngumi. Binafsi niliumia sana maana personal attack kwa mtu haipendezi. Tupo hapa kusocialise na ndiyo maana tunatumia majina ya ajabu. UbarikiweKila MTU na mfumo wake mkuu Mimi ukiniona wa nini , na Mimi nakuona wa kazi gani! Huo ndio mfumo wangu.
hahahah, ngoja nikupe picha hiyo PM🙄Mkuu Ebu Tupiako Kapicha Tuone Kalivyokuwa Kameeditiwa
Huwenda Nikamuonyexha Huyo Bi Dada Chumba Cha Kupanga Huku Kitaa Kwetu
Dada yule alikuwa ame mu add mumewe FB wakawa ni marafiki.Dada pamoja na mumewe niwatumishi wa umma idara ya afya.Mumewe akawa amepata safari ya zaidi ya mwezi mmoja humu humu ndani ya nchi.Yule dada akawa amepost picha kwenye ukurasa wake wa FB, picha ambayo ame ifanyia editing halafu akaandika yuko Mombasa Kenya.Mumewe kaona ile picha, kumbuka yuko safarini hayuko nyumbani.Bwana yule baada ya kurudi safari, alimuuliza mkewe Mombasa alienda kufanya nini? Dada kajitahidi kumuelewesha kwamba ni picha tu ame edit, lakini mwanamme anasisitiza kuwa wataalamu wa IT wamemwambia kuwa, itakuwa ni kweli alikuwa Mombasa Kenya.Dada amefika mbali hadi kumwambia mumewe kuwa akaangalie kwenye daftari la mahudhurio kazini siku hiyo ataona kwamba alikuwa kazini, lakini mzee hataki kuamini kuwa mkewe hakuwa Mombasa Kenya.Hadi ninatuma huu uzi bidada anatafuta chumba cha kupanga.😡😡😡
Ndo raha ya insta hiyoDada yule alikuwa ame mu add mumewe FB wakawa ni marafiki.Dada pamoja na mumewe niwatumishi wa umma idara ya afya.Mumewe akawa amepata safari ya zaidi ya mwezi mmoja humu humu ndani ya nchi.Yule dada akawa amepost picha kwenye ukurasa wake wa FB, picha ambayo ame ifanyia editing halafu akaandika yuko Mombasa Kenya.Mumewe kaona ile picha, kumbuka yuko safarini hayuko nyumbani.Bwana yule baada ya kurudi safari, alimuuliza mkewe Mombasa alienda kufanya nini? Dada kajitahidi kumuelewesha kwamba ni picha tu ame edit, lakini mwanamme anasisitiza kuwa wataalamu wa IT wamemwambia kuwa, itakuwa ni kweli alikuwa Mombasa Kenya.Dada amefika mbali hadi kumwambia mumewe kuwa akaangalie kwenye daftari la mahudhurio kazini siku hiyo ataona kwamba alikuwa kazini, lakini mzee hataki kuamini kuwa mkewe hakuwa Mombasa Kenya.Hadi ninatuma huu uzi bidada anatafuta chumba cha kupanga.😡😡😡