Ka edit picha yake, matokeo yake kapewa talaka

Yawezekana jamaa anaamini kuwa alipoenda mombasa watu wameutumia mtandao pendwa wa ti.go na ndio hicho kinachomuuma zaidi pengine.
Sasa mbona mkewe ana jitetea hadi anamwambia akakague daftari la mahudhirio kazini kwake ataona siku hiyo aliandika kuingia kazini, lakini bado mzee kafura tu ana sisitiza kuwa dada alikuwa Mombasa Kenya kama alivyorusha picha ile!!!
 
Kisichokua na umuhimu kwako kinaweza kua na umuhimu kwa mwingine,na chenye umuhimu kwako kinaweza kikawa hakina umuhimu kwa mwingine,acha kupangia watu vitu vya kuandika.
Huyo si ana tabia kama za huyo mtoa talaka ndio maana "ameni maindi" hahahahahaha
 
Ndo maana huwa sipendi kupost mapicha popote labda ya tukio maalum,mie ni ke
Mie ninachoona ni kwamba mzee wake ana wivu kupita kiasi, halafu sio mtaalamu sana mitandao na pia ana maamuzi ya haraka haraka.
 
Sasa mbona mkewe ana jitetea hadi anamwambia akakague daftari la mahudhirio kazini kwake ataona siku hiyo aliandika kuingia kazini, lakini bado mzee kafura tu ana sisitiza kuwa dada alikuwa Mombasa Kenya kama alivyorusha picha ile!!!
Sawa yawezekana kabisa dada wa watu hakwenda huko, ila jamaa anaamini kuwa kaenda.

Na vile mombasa inaaminika kwa ufir.a.ji yawezekana jamaa ndio kaamua kuachana nae akiamini mkewe kafumuliwa marinda.
 
Uko sahihi,ila naamini yataisha baadae, wanaume wa fani hizi wengi wao sio wataalamu wa mitandao
 
Naona wengi mnamlaumu huyo mume aliyetoa talaka,na nyie wadada muache maisha ya maigizo,una edit uonekane ulikua Mombasa ili iweje? kwanini usiishi maisha unayoishi? huko FB ndio maana sitaki hata kupajua,upuuzi mtupu.
Ni bahati mbaya, lakini hata mie nimejifunza kitu kupitia lililompata nesi
 
Sasa mbona mkewe ana jitetea hadi anamwambia akakague daftari la mahudhirio kazini kwake ataona siku hiyo aliandika kuingia kazini, lakini bado mzee kafura tu ana sisitiza kuwa dada alikuwa Mombasa Kenya kama alivyorusha picha ile!!!
Sawa yawezekana kabisa dada wa watu hakwenda huko, ila jamaa anaamini kuwa kaenda.

Na vile mombasa inaaminika kwa ufir.a.ji yawezekana jamaa ndio kaamua kuachana nae akiamini mkewe kafumuliwa marinda.
 
Sawa yawezekana kabisa dada wa watu hakwenda huko, ila jamaa anaamini kuwa kaenda.

Na vile mombasa inaaminika kwa ufir.a.ji yawezekana jamaa ndio kaamua kuachana nae akiamini mkewe kafumuliwa *******.
hahahha, nimecheka kama mazuri
 
Jamaa alikuwa anatafuta sababu ya kumtema tu huyo na kaipata ndo maana hakutaka kufuatilia mambo ya saini zake ofisini
 
Back
Top Bottom