Ka edit picha yake, matokeo yake kapewa talaka

Hakuna kitu cha ovyo kwenye mapenzi kama wivu!.....Mimi niko tayari kushare papuchi kuliko niwe na kitu kinachoitwa wivu!!
Yeah... kama unakula vya watu, shurti na vyako viliwe... Yani unapenda ule tu kwani wenzio hawali? Lazima na wao wale...

Sina maana hiyooo....
 
Yeah... kama unakula vya watu, shurti na vyako viliwe... Yani unapenda ule tu kwani wenzio hawali? Lazima na wao wale...

Sina maana hiyooo....
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Mkuu Ebu Tupiako Kapicha Tuone Kalivyokuwa Kameeditiwa

Huwenda Nikamuonyexha Huyo Bi Dada Chumba Cha Kupanga Huku Kitaa Kwetu
 
Kila MTU na mfumo wake mkuu Mimi ukiniona wa nini , na Mimi nakuona wa kazi gani! Huo ndio mfumo wangu.
Sawa tu ila katika maisha lazima watu kama nyie muwepo ili mambo yaende sawa ingawa kwa bahati mbaya na siye tupo ambao ni ngumi kwa ngumi. Binafsi niliumia sana maana personal attack kwa mtu haipendezi. Tupo hapa kusocialise na ndiyo maana tunatumia majina ya ajabu. Ubarikiwe
 

"HUYO NI MWANAUME SASA"
 
Ndo raha ya insta hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…