Ka edit picha yake, matokeo yake kapewa talaka

Ndoa zina changamoto sana. Yaani ghafla unapewa talaka bila kutarajia!!!
Ndoa zina mengi mno, ukiwa mwingi wa hasira utaishia kutoa talaka au kudhuru mtu. Ilinitokea kudadeq nilipandwa na hasira hadi mdomo unatetemeka, mtu ameropoka bila kujua, anashtuka kumbe ameongea upumbavu mbele ya mume...dadeq unaweza kuua!!
 
Mungu mkubwa kama uliweza kutawala hasira zako, hongera sana.
 
Jamaa boya sana. Wivu mbaya
Yaani Numbi, huyo dada anahangaika saa hizi kutafuta chumba. Hebu fikiria talaka ya ghafla ghafla halafu mwanamme (mkurya) hataki maelezo. mdada ni Mnyakyusa.
 
Mungu mkubwa kama uliweza kutawala hasira zako, hongera sana.
Sina mkono wa haraka mkuu, ila hasira zinanichukua mda kuisha. Sijui hapo nifanyaje, manake kila nikikumbuka i feel so angry kiasi kwamba nashindwa kufanya mengine.
 
Sina mkono wa haraka mkuu, ila hasira zinanichukua mda kuisha. Sijui hapo nifanyaje, manake kila nikikumbuka i feel so angry kiasi kwamba nashindwa kufanya mengine.
Yaani unakuwa na kinyongo fulani hivi. hilo nalo ni tatizo Eli79.
 
Yaani unakuwa na kinyongo fulani hivi. hilo nalo ni tatizo Eli79.
Sio kinyongo NAHUJA, ni hasira...yaani hasira zinakuja hadi nahisi mshipa wa "nyige"(sijui kiswahili chake) unataka kukatika. Nikiwa hivyo nakaa mbali tu nisije kuharibu.
 
Sio kinyongo NAHUJA, ni hasira...yaani hasira zinakuja hadi nahisi mshipa wa "nyige"(sijui kiswahili chake) unataka kukatika. Nikiwa hivyo nakaa mbali tu nisije kuharibu.
Ukiwa hivyo uwe unakunywa maji kama nusu glass hivi hasira zinapungua!!!
 
Achana na kuachwa ghafla haujajiandaa lazima moja wala mbili isikae
Kwanza ilikuwa amtoe usiku. bi dada anasema akamuomba kuwa amuache alale ataondoka asubuhi. Bibie alijipa moyo kwamba labda ikifika asubuhi mzee anaweza akabadili msimamo. Unaambiwa asubuhi "Lukwiri" akamwamsha, "kumekucha naomba utoke hapa kwangu". Ikabidi bibie achukue nguo kidogo tu kwenye begi.
Inasikitisha sana, ila sasa mambo ya ndoa wambeya hatuwezi kutia neno maana wakielewana tutasutwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…