- Thread starter
- #81
Feisibuku sio IGNdo raha ya insta hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Feisibuku sio IGNdo raha ya insta hiyo
Wote ni bba mmoja mma mbalimbaliFeisibuku sio IG
Ndoa zina mengi mno, ukiwa mwingi wa hasira utaishia kutoa talaka au kudhuru mtu. Ilinitokea kudadeq nilipandwa na hasira hadi mdomo unatetemeka, mtu ameropoka bila kujua, anashtuka kumbe ameongea upumbavu mbele ya mume...dadeq unaweza kuua!!Ndoa zina changamoto sana. Yaani ghafla unapewa talaka bila kutarajia!!!
Mungu mkubwa kama uliweza kutawala hasira zako, hongera sana.Ndoa zina mengi mno, ukiwa mwingi wa hasira utaishia kutoa talaka au kudhuru mtu. Ilinitokea kudadeq nilipandwa na hasira hadi mdomo unatetemeka, mtu ameropoka bila kujua, anashtuka kumbe ameongea upumbavu mbele ya mume...dadeq unaweza kuua!!
Yaani Numbi, huyo dada anahangaika saa hizi kutafuta chumba. Hebu fikiria talaka ya ghafla ghafla halafu mwanamme (mkurya) hataki maelezo. mdada ni Mnyakyusa.Jamaa boya sana. Wivu mbaya
Ushamba wa kutumia mitandao na kuiga iga bila kujua madhara yake.Huyo mdada mwana kuyataka mwana kuyapata kilichomfanya aedit yupo mombasa nini
Sina mkono wa haraka mkuu, ila hasira zinanichukua mda kuisha. Sijui hapo nifanyaje, manake kila nikikumbuka i feel so angry kiasi kwamba nashindwa kufanya mengine.Mungu mkubwa kama uliweza kutawala hasira zako, hongera sana.
Mm nampa pole tu shostUshamba wa kutumia mitandao na kuiga iga bila kujua madhara yake.
Yaani amechanganyikiwa, kila anayekutana naye anamwelezea hata kama hawana mazoea naye!!!Mm nampa pole tu shost
Achana na kuachwa ghafla haujajiandaa lazima moja wala mbili isikaeYaani amechanganyikiwa, kila anayekutana naye anamwelezea hata kama hawana mazoea naye!!!
Kwanza ilikuwa amtoe usiku. bi dada anasema akamuomba kuwa amuache alale ataondoka asubuhi. Bibie alijipa moyo kwamba labda ikifika asubuhi mzee anaweza akabadili msimamo. Unaambiwa asubuhi "Lukwiri" akamwamsha, "kumekucha naomba utoke hapa kwangu". Ikabidi bibie achukue nguo kidogo tu kwenye begi.Achana na kuachwa ghafla haujajiandaa lazima moja wala mbili isikae