Ka ubaridi haka ka Dar ndio muda muhafaka wa kurudisha heshima ya ndoa sasa!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
950
Yani ni full raha kwa sasa Dar aise,maji ya kuoga inabidi uyapashe moto khaa,kesho naenda kununua blanket ili niuonje usingizi wake.....Yani saaaaaaaaafi.Najua hata biashara ya wale dada zetu kuanzia Sinza,Ohio,IFM na kwingineko Dar itapanda maradufu.

Lazima ibilis na ikoo wake wote wahamie Dar sasa.Ata humu ndani itakua ni full mitongozo,full kukumbatiana mpaka 'bujee' lol!
 
Kwa wasimbe italipa!
Sie wenye vatiri zetu, tupo barida tu!
 
Kwa wasimbe italipa!
Sie wenye vatiri zetu, tupo barida tu!
Hahahahahahahahahahahaha!
Mkuu vipi yule dadako KING'ast analika kweli?maana naona Paw kishajiwekea makazi ya kudumu ndani ya moyo wake.

Ila siwezi kukata tamaa mpaka nitoke Kilwa.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Hahahahahahahahahahahaha!
Mkuu vipi yule dadako KING'ast analika kweli?maana naona Paw kishajiwekea makazi ya kudumu ndani ya moyo wake.

Ila siwezi kukata tamaa mpaka nitoke Kilwa.

Unaulizia kumla! Wakati haonjeki! Nadhani unafanya biashara ya ndizi-matoke uyatoe Unguja upeleke Bukoba!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahahaha!
Ila siwezi kukata tamaa mpaka nitoke Kilwa.
Hehehehe. Umeenda kwa mganga aliyekimbia kozi kabla ya kuhitimu.

Akishamaliza kukuagua jikague asije akawa ameiba baadhi ya viungo mwilini mwako ukajabakia jina tu hehehehehe.
 
Mmh! kumbe baridi inarudisha heshima?

Yaap baridi ina raha zake jamani!
Lkn mm demu wangu anasoma UDSM ndiyo namsoma hapa gazeti la Majira kafikishwa jana Mahakamani kwa UKAHABA!

Zaidi ya mizinga ya mara kwa mara nikimtembelea bwenini kwake wala hakuonyesha dalili kama kafikia hatua kusimama Jolly Club kujiuza!
 
Yani ni full raha kwa sasa Dar aise,maji ya kuoga inabidi uyapashe moto khaa,kesho naenda kununua blanket ili niuonje usingizi wake.....Yani saaaaaaaaafi.Najua hata biashara ya wale dada zetu kuanzia Sinza,Ohio,IFM na kwingineko Dar itapanda maradufu.

Lazima ibilis na ikoo wake wote wahamie Dar sasa.Ata humu ndani itakua ni full mitongozo,full kukumbatiana mpaka 'bujee' lol!

makubwa. Dar nako kuna baridi?
 
Hehehehe. Umeenda kwa mganga aliyekimbia kozi kabla ya kuhitimu.

Akishamaliza kukuagua jikague asije akawa ameiba baadhi ya viungo mwilini mwako ukajabakia jina tu hehehehehe.
Hahahahahaha!
Ngoja ntamtafuta Bishanga maana nasikia nae ni mtaalamu wa haya mambo yetu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom