CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Kumbe ulikua hulijui hilo,watakucheka watu!!Mmh! kumbe baridi inarudisha heshima?
Hadithi hadithi . . . . .
Hehehehe. Umeenda kwa mganga aliyekimbia kozi kabla ya kuhitimu.Hahahahahahahahahahahaha!
Ila siwezi kukata tamaa mpaka nitoke Kilwa.
Mmh! kumbe baridi inarudisha heshima?
Yani ni full raha kwa sasa Dar aise,maji ya kuoga inabidi uyapashe moto khaa,kesho naenda kununua blanket ili niuonje usingizi wake.....Yani saaaaaaaaafi.Najua hata biashara ya wale dada zetu kuanzia Sinza,Ohio,IFM na kwingineko Dar itapanda maradufu.
Lazima ibilis na ikoo wake wote wahamie Dar sasa.Ata humu ndani itakua ni full mitongozo,full kukumbatiana mpaka 'bujee' lol!
Hahahahahaha!Hehehehe. Umeenda kwa mganga aliyekimbia kozi kabla ya kuhitimu.
Akishamaliza kukuagua jikague asije akawa ameiba baadhi ya viungo mwilini mwako ukajabakia jina tu hehehehehe.
Ni kweli kabisa mkuu.makubwa. Dar nako kuna baridi?