Ka ubaridi haka ka Dar ndio muda muhafaka wa kurudisha heshima ya ndoa sasa!!!!!

Hehehehe. Umeenda kwa mganga aliyekimbia kozi kabla ya kuhitimu.

Akishamaliza kukuagua jikague asije akawa ameiba baadhi ya viungo mwilini mwako ukajabakia jina tu hehehehehe.

Mkuu kwa nini umejimilikisha King'asti mpaka wanamuogopa hata kumsogelea?
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Paw
karibia kitakula kwako mandieta jichekeshe tu hapa
uone kama haujasahaulika humu jamvini.
Alafu akina Paw na wenzie wamezoea kunipiga BAN kila inapokaribia mechi kubwa ya Yanga wakijui kwamba mimi ndiye huwa reporter kwa hisani ya JF.

Sasa ni bora sasa hivi niondoke zangu eneo hili nikatafute majukwaa yasiyo na stress ili nivutevute muda mpaka kesho jioni nikitoka kurusha post za mechi ya Yanga na Simba.
Mkuu Paw hunipati bye tutaonana kesho jioni inshaallah!
 
Last edited by a moderator:
mandieta hivi kumbe ndo ulivyo,
si sawa tu na wale wa gongo la mboto waliokimbia wakawaacha wake zao na watoto ndani,
dah ningekuwa King'asti ndo mwisho leo leo.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…