ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Case 1:leo muda sio mrefu kanipigia simu kijana toka kilindi Tanga akaniuliza wewe ni ndege?ndio. Akasema kuna ndugu zako toka kijijini kwenu wamekuja huku kutafuta maisha(ni kweli wapo wanaukoo fulani wameenda kutafuta ardhi huko kilindi nawajua).
Kijana akaendelea kwamba baba yake ni mganga na kwamba hao ndugu zangu walimwendea mzee lengo wanichukulie nyota yangu kwani ni kali sana ndo maana kila nikipata pesa nyingi zinaishia bar.mimi kwa kuwa ni mjanja na ndo maana nitawapinga wote mnaoamini kuhusu uchawi kuanzia mshana na wengineo basi nikapanic na matusi juu nikamtukana kijana nikamwambia mwambie huyo baba yako aniloge kama anaweza.
Me siamini kitu ambacho sijawahi kukiona kweli nilikuwa nakunywa pombe ila hio ni tabia tu ambayo imekuwa uraibu kama walevi wengine haina uhusiano na kulogwa wala chochote. Nikakata simu nikampigia simu maza nimuulize anikumbushe hao ndugu zetu waliopo kilindi maana nimewasahau miaka mingi.
Kumpigia simu maza kumbe na yeye leoleo matapeli wamemjaribu.
Case 2: Aloo fulani wewe ni fulani mama ndege na umesoma chuo fulani na sasa unafanya kazi mkoa fulani. Sasa kuna project ya wazungu inakuja kwa wale wahitimu wa chuo x, maza akawatukana akakata simu.
Maza akanisimulia hivo na akasema tuwe makini uzuri mimi mama yangu hajawahi kwenda kwa mganga hata siku moja wote sisi hatuamini mambo ya nyote endeleni kuamini nyie sisi hata maisha yakiwa magumu vipi tuna imani katika kuvumilia.
Basi me nikasema nimekosea kumkatia simu kwa hasira yule kijana acha nimrukie tena niwe mpole ndo sasa akaanza kunipanga ooh mzee kwenye mkoba wake anajua mpk unapofanya kazi ni mtwara nikaona uzushi namba moja wakati mimi nipo lindi.
Akaendelea ooh tatizo wewe kiburi na mbishi umelogwa tena wabaya wako wametoa 18000 tu ili wakuue dah afu wakuu ukipiga hesabu kweli nina kahoma fulani kidogo niingie king au ndo na dead kweli.
Aah wapi me asee bado sana kuamini hayo maulofa japo kweli hapa kati nimepitia kipindi kigumu mpk kuuza baadhi ya mali zangu ili niishi lakini bado sina imani za kuchezewa kila kitu naona kabisa ni matokeo ya nilichokifanya sasa kama nilipata laki 2 nikanywa pombe zote na nikatoka na wasichana wa kila aina iweje uniambie nimelogwa wakati ni tabia yangu kabisa?
Je, ningesema nitulie tu home niangalie movie hio hela ingepepeaje?