Kaa chonjo utapeli umeshika kasi

Kaa chonjo utapeli umeshika kasi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Case 1:leo muda sio mrefu kanipigia simu kijana toka kilindi Tanga akaniuliza wewe ni ndege?ndio. Akasema kuna ndugu zako toka kijijini kwenu wamekuja huku kutafuta maisha(ni kweli wapo wanaukoo fulani wameenda kutafuta ardhi huko kilindi nawajua).

Kijana akaendelea kwamba baba yake ni mganga na kwamba hao ndugu zangu walimwendea mzee lengo wanichukulie nyota yangu kwani ni kali sana ndo maana kila nikipata pesa nyingi zinaishia bar.mimi kwa kuwa ni mjanja na ndo maana nitawapinga wote mnaoamini kuhusu uchawi kuanzia mshana na wengineo basi nikapanic na matusi juu nikamtukana kijana nikamwambia mwambie huyo baba yako aniloge kama anaweza.

Me siamini kitu ambacho sijawahi kukiona kweli nilikuwa nakunywa pombe ila hio ni tabia tu ambayo imekuwa uraibu kama walevi wengine haina uhusiano na kulogwa wala chochote. Nikakata simu nikampigia simu maza nimuulize anikumbushe hao ndugu zetu waliopo kilindi maana nimewasahau miaka mingi.

Kumpigia simu maza kumbe na yeye leoleo matapeli wamemjaribu.

Case 2: Aloo fulani wewe ni fulani mama ndege na umesoma chuo fulani na sasa unafanya kazi mkoa fulani. Sasa kuna project ya wazungu inakuja kwa wale wahitimu wa chuo x, maza akawatukana akakata simu.

Maza akanisimulia hivo na akasema tuwe makini uzuri mimi mama yangu hajawahi kwenda kwa mganga hata siku moja wote sisi hatuamini mambo ya nyote endeleni kuamini nyie sisi hata maisha yakiwa magumu vipi tuna imani katika kuvumilia.

Basi me nikasema nimekosea kumkatia simu kwa hasira yule kijana acha nimrukie tena niwe mpole ndo sasa akaanza kunipanga ooh mzee kwenye mkoba wake anajua mpk unapofanya kazi ni mtwara nikaona uzushi namba moja wakati mimi nipo lindi.

Akaendelea ooh tatizo wewe kiburi na mbishi umelogwa tena wabaya wako wametoa 18000 tu ili wakuue dah afu wakuu ukipiga hesabu kweli nina kahoma fulani kidogo niingie king au ndo na dead kweli.

Aah wapi me asee bado sana kuamini hayo maulofa japo kweli hapa kati nimepitia kipindi kigumu mpk kuuza baadhi ya mali zangu ili niishi lakini bado sina imani za kuchezewa kila kitu naona kabisa ni matokeo ya nilichokifanya sasa kama nilipata laki 2 nikanywa pombe zote na nikatoka na wasichana wa kila aina iweje uniambie nimelogwa wakati ni tabia yangu kabisa?

Je, ningesema nitulie tu home niangalie movie hio hela ingepepeaje?
 
We utakuwa humjui Ally MPEmBA
wa umu km huamini bas
 
Case 1:leo muda sio mrefu kanipigia simu kijana toka kilindi Tanga akaniuliza wewe ni ndege?ndio.akasema kuna ndugu zako toka kijijini kwenu wamekuja huku kutafuta maisha(ni kweli wapo wanaukoo fulani wameenda kutafuta ardhi huko kilindi nawajua)..kijana akaendelea kwamba baba yake ni mganga na kwamba hao ndugu zangu walimwendea mzee lengo wanichukulie nyota yangu kwani ni kali sana ndo maana kila nikipata pesa nyingi zinaishia bar.mimi kwa kuwa ni mjanja na ndo maana nitawapinga wote mnaoamini kuhusu uchawi kuanzia mshana na wengineo basi nikapanic na matusi juu nikamtukana kijana nikamwambia mwambie huyo baba yako aniloge kama anaweza..me siamini kitu ambacho sijawahi kukiona kweli nilikuwa nakunywa pombe ila hio ni tabia tu ambayo imekuwa uraibu kama walevi wengine haina uhusiano na kulogwa wala chochote..nikakata simu nikampigia simu maza nimuulize anikumbushe hao ndugu zetu waliopo kilindi maana nimewasahau miaka mingi.

Kumpigia simu maza kumbe na yeye leoleo matapeli wamemjaribu

Case 2:aloo fulani wewe ni fulani mama ndege na umesoma chuo fulani na sasa unafanya kazi mkoa fulani..sasa kuna project ya wazungu inakuja kwa wale wahitimu wa chuo x..maza akawatukana akakata simu..maza akanisimulia hivo na akasema tuwe makini uzuri mimi mama yangu hajawahi kwenda kwa mganga hata siku moja wote sisi hatuamini mambo ya nyote endeleni kuamini nyie sisi hata maisha yakiwa magumu vipi tuna imani katika kuvumilia.

Basi me nikasema nimekosea kumkatia simu kwa hasira yule kijana acha nimrukie tena niwe mpole ndo sasa akaanza kunipanga ooh mzee kwenye mkoba wake anajua mpk unapofanya kazi ni mtwara nikaona uzushi namba moja wakati mimi nipo lindi.akaendelea ooh tatizo wewe kiburi na mbishi umelogwa tena wabaya wako wametoa 18000 tu ili wakuue dah afu wakuu ukipiga hesabu kweli nina kahoma fulani kidogo niingie king au ndo na dead kweli..aah wapi me asee bado sana kuamini hayo maulofa japo kweli hapa kati nimepitia kipindi kigumu mpk kuuza baadhi ya mali zangu ili niishi lakini bado sina imani za kuchezewa kila kitu naona kabisa ni matokeo ya nilichokifanya sasa kama nilipata laki 2 nikanywa pombe zote na nikatoka na wasichana wa kila aina iweje uniambie nimelogwa wakati ni tabia yangu kabisa je ningesema nitulie tu home niangalie movie hio hela ingepepeaje.
Naungana na weee 100% kila kitu ni matokeo ya matendo yetu sisi wenyewe HAKUNA kulogwaa, sijui kulogana wala uchawi.
 
Matapeli Headquater ni kwenye ofisi za makampuni ya simu, hao ndiyo wanajua, wanasikiliza maongezi yetu, wanasoma texts zetu, wanajua tuna sh ngapi kisha kwa kuwa wanajua unawasiliana na akina nani na wapo wapi basi wanapata pa kuanzia kwenye kutunga stori ya utapelii.
 
Case 1:leo muda sio mrefu kanipigia simu kijana toka kilindi Tanga akaniuliza wewe ni ndege?ndio. Akasema kuna ndugu zako toka kijijini kwenu wamekuja huku kutafuta maisha(ni kweli wapo wanaukoo fulani wameenda kutafuta ardhi huko kilindi nawajua).

Kijana akaendelea kwamba baba yake ni mganga na kwamba hao ndugu zangu walimwendea mzee lengo wanichukulie nyota yangu kwani ni kali sana ndo maana kila nikipata pesa nyingi zinaishia bar.mimi kwa kuwa ni mjanja na ndo maana nitawapinga wote mnaoamini kuhusu uchawi kuanzia mshana na wengineo basi nikapanic na matusi juu nikamtukana kijana nikamwambia mwambie huyo baba yako aniloge kama anaweza.

Me siamini kitu ambacho sijawahi kukiona kweli nilikuwa nakunywa pombe ila hio ni tabia tu ambayo imekuwa uraibu kama walevi wengine haina uhusiano na kulogwa wala chochote. Nikakata simu nikampigia simu maza nimuulize anikumbushe hao ndugu zetu waliopo kilindi maana nimewasahau miaka mingi.

Kumpigia simu maza kumbe na yeye leoleo matapeli wamemjaribu.

Case 2: Aloo fulani wewe ni fulani mama ndege na umesoma chuo fulani na sasa unafanya kazi mkoa fulani. Sasa kuna project ya wazungu inakuja kwa wale wahitimu wa chuo x, maza akawatukana akakata simu.

Maza akanisimulia hivo na akasema tuwe makini uzuri mimi mama yangu hajawahi kwenda kwa mganga hata siku moja wote sisi hatuamini mambo ya nyote endeleni kuamini nyie sisi hata maisha yakiwa magumu vipi tuna imani katika kuvumilia.

Basi me nikasema nimekosea kumkatia simu kwa hasira yule kijana acha nimrukie tena niwe mpole ndo sasa akaanza kunipanga ooh mzee kwenye mkoba wake anajua mpk unapofanya kazi ni mtwara nikaona uzushi namba moja wakati mimi nipo lindi.

Akaendelea ooh tatizo wewe kiburi na mbishi umelogwa tena wabaya wako wametoa 18000 tu ili wakuue dah afu wakuu ukipiga hesabu kweli nina kahoma fulani kidogo niingie king au ndo na dead kweli.

Aah wapi me asee bado sana kuamini hayo maulofa japo kweli hapa kati nimepitia kipindi kigumu mpk kuuza baadhi ya mali zangu ili niishi lakini bado sina imani za kuchezewa kila kitu naona kabisa ni matokeo ya nilichokifanya sasa kama nilipata laki 2 nikanywa pombe zote na nikatoka na wasichana wa kila aina iweje uniambie nimelogwa wakati ni tabia yangu kabisa?

Je, ningesema nitulie tu home niangalie movie hio hela ingepepeaje?
Siamini mambo ya utapeli ni stori tu
 
Tapeli lilinipigia simu baada ya kujua nimelishtukia liliachia bonge 1 la tusi afu likaniambia linanitumia sh. 100 nikanunue kiwembe nikanyoe vuzi.

Nikabaki nasema tu moyoni limejuaje hapa Nina mlima wa vuzi Kama wote.Inshalaah atume tu hii tsh.100 ninunue Topaz.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku nikikuta tapeli anapigwa mtaani nitahakikisha amerudisha jezi! Shenzi kabisa hawa watu!
 
kila kitu naona kabisa ni matokeo ya nilichokifanya sasa kama nilipata laki 2 nikanywa pombe zote na nikatoka na wasichana wa kila aina iweje uniambie nimelogwa wakati ni tabia yangu kabisa?
OK jifariji baba hujui mifumo ya wakuu ifanyavyo kazi huna keys za kufungua siri za maisha wewe ni kitoto kichanga kilichozaliwa leo The world is strange than you can imagine unaharibikiwa kakini hutaki kukubali kwamba unaharibikiwa huwa wanavuruga ufahamu huo
 
Siku nikikuta tapeli anapigwa mtaani nitahakikisha amerudisha jezi! Shenzi kabisa hawa watu!
Kwa mtaani haitatokea hata siku moja kukamata tapeli.

Labda sema: ukute kakamatwa mwizi, ndiyo utapunguzia hasira zako hapo, lakini si tapeli.
 
OK jifariji baba hujui mifumo ya wakuu ifanyavyo kazi huna keys za kufungua siri za maisha wewe ni kitoto kichanga kilichozaliwa leo The world is strange than you can imagine unaharibikiwa kakini hutaki kukubali kwamba unaharibikiwa huwa wanavuruga ufahamu huo
Kwa maana hiyo wote tunaolewa pombe tumelogwa si ndio?[emoji1787]
 
Matapeli Headquater ni kwenye ofisi za makampuni ya simu, hao ndiyo wanajua, wanasikiliza maongezi yetu, wanasoma texts zetu, wanajua tuna sh ngapi kisha kwa kuwa wanajua unawasiliana na akina nani na wapo wapi basi wanapata pa kuanzia kwenye kutunga stori ya utapelii.
Kama ulifatilia Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na makomando wa Jeshi usingeandika hivi.

Mtandao wa simu hawana uwezo wa ku-acess msg zako . Wanaweza tu ku record on real time maongezi na hiyo sio kazi ndogo ifanywe ma matapeli wanaotafuta wizi w laki moja. Afande Kingai na ma- IT Eng wa Tigo, airtel na Voda walishindwa kuthibisha ujumbe wa msg kutoka kwa Mbowe kwenda kwa Makomando ispokuwa tu msg zilizobaki kwenye simu.

Kama unaweza fatilia ile kesi wakati Shahidi kutoka Tigo anahojiwa mahakamani utagundua mifumo imewekewa ulinzu mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom