Kaa kimasta! Hasira imetamalaki mtaani kwa walioikosa ile fursa!

Kaa kimasta! Hasira imetamalaki mtaani kwa walioikosa ile fursa!

JITU BANDIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2023
Posts
4,368
Reaction score
9,937
Wahenga walisema, vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru, ama vita vya kuku ni furaha kwa mwewe alie karibu!

Hii ni misemo ya wahenga,

Sote tunakumbuka yaliyotokea October 29 hadi dec 2...ile lockdown ya siku takribani 3-4 hivi ilivyogeuzwa fursa!

Wagagagigikoko waliigeuza ile kuwa Fursa kwao, baada ya kipigo hevi hasa huku niliko, ilikuwa inafuata searching..."una sh ngapi"? Watu walifuatwa majumbani!

Wagagagigikoko walikuwa wakiombea sana! Ile hali ijirudie tena 9/12 waitumie fursa wafanye yao! Waliyofanya ya Kupora na kuwaibia raia kwa makusudi, ilikuwa baada ya kichapo UNASACHIWA! WALIGEUZA MRADI

Baada ya ile lockdown waliyoitegemea kuwa itakuwa kama ya October kufeli na kutokuwepo kama walivyotarajia! , Sasa hivi huku mtaani ukikutwa unazagaa hovyo usiku, ni kichapo kwa kwenda mbele!

Wana hasira! Maana ile fursa hawakuipata tena!

Kaa kimasta, hali si shwari sana mtaani! Hasa huku niliko! Wagagagigikoko walipiga sana hela si mchezo ile October! Wana hasira ya kuikosa fursa ya pili.
 
Hizo ni roho za uchawi walizonazo ndizo zinafanya wanaukasilikia utulivu, anyway jambo letu lipo palepale hadi mbogamboga wafutike nchini.
 
Ukitaka kujua ukweli wa 9th December protests it's more non physical na ilifanikiwa kwa 100% kiuchambuzi soma kisa hiki cha kuuzwa kwa sanamu isiyoonekana angalia kiasi na jipime kama wewe ungeweza kutoa hicho kiasi cha pesa Everydays: the First 5000 Days - Wikipedia
Na Bado Iko sokoni pledge what you afford ndo serikali yetu hatua iliyonayo kwa sasa they take Avery bet. Hatuwahi kushuhudia wizara zinatoka kuongea na wananchi mfululizo hivi so it's blind bet hawajui benefit yake na wananchi hatujui benefit yake let hope for odds to win
 
Back
Top Bottom