Kaa mbali na Mwanamke asiyejua kuandika jina lake kwa usahihi

Marumeso

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2009
Posts
1,410
Reaction score
1,325
Kaa mbali sana na mwanamke anayeandika jina lake kwa staili hii akiamini amelipatia

- Mtu anaitwa Lilian yeye anajiandika Lilyan/Liliani au Lylyany.

- Janeth yeye anaandika Janethi/Janeti/Janethy

- Mary au Maria yeye anaandika Marry/Merri/Meli/Malia

- Priscilla/Priscillah anaandika Prisila/Pilisila/Plisla

- Mariam yeye anaandika Maryam/Mariamu/Maliam/Malyam

Watu dizaini hii mara nyingi wana uelewa (IQ) mdogo sana ama wa kurithi au wa wao wenyewe kukosa shule au exposure ya kutosha na ukikomaa naye labda kwa sababu ana kalio la kuvunja chaga basi lazima mtasumbuana tu hapo mbeleni.

Chukua hii utakuja kunishukuru.
 
jamani jamani sasa mtu amekua amekuta tayari ameandikishwa labda ndo Mariamu unataka afanyeje 😒 mbona hata wanaume wa hivyo wapo unakuta mtu anaitwa josefu au samueli

hebu wacha ubaguzi
Mkuu kupanga ni kuchagua
 
Siki hizi jf imeingiliwa na watu waajabu...zaman ulikuwa ukisoma uzi unatoka na madini saiv wanaandika madudu ukisoma unatoka na majini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: THT
Hv Elimu inakwenda sambamba ina IQ kweli?? Hakuna watu wenye elimu kubwa ila IQ ni ndogo??
 
Usipokuwa makini kwa vitu vidogovidogo unavyoviishi kila siku utaweza mambo makubwa ya kushtukizwa?
NB:Mzembe wa hivyo afundishwe,akaririshwe na kuishi motto wa Scouts ..."be prepared"...!
 
Kaa mbali sana na mwanamke anayeandika jina lake kwa staili hii akiamini amelipatia

- Mtu anaitwa Lilian yeye anajiandika Lilyan/Liliani au Lylyany.

- Janeth yeye anaandika Janethi/Janeti/Janethy

- Mary au Maria yeye anaandika Marry/Merri/Meli/Malia

- Priscilla/Priscillah anaandika Prisila/Pilisila/Plisla

- Mariam yeye anaandika Maryam/Mariamu/Maliam/Malyam

Watu dizaini hii mara nyingi wana uelewa (IQ) mdogo sana ama wa kurithi au wa wao wenyewe kukosa shule au exposure ya kutosha na ukikomaa naye labda kwa sababu ana kalio la kuvunja chaga basi lazima mtasumbuana tu hapo mbeleni.

Chukua hii utakuja kunishukuru.
Elezea tukio ulilopigwa tukuelewe.

Ishu ya majina peleka RITA ( Ritha)[emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu, mfumo wa uandikaji wa jina unabadilika kulingana na lugha au nchi husika. Mfano jina Mariam linaandikwa sana na mataifa ya Israel na baadhi ya nchii zinazozungumza lugha ya Spanish, lakini mataifa yanayoongea kiarabu wanapotumia Latin words wanaandika Maryam.
Kwa sisi baadhi ya nchi za kiafrika hususan Tanzania tunaandika Mariamu. Alafu jifunze kutofautisha vitu serious na vile vilivyo kinyume chake.

Mtandao kama Instagram na mwingine mingi haina tabia ya kuchangia username moja, hivyo mfano mimi naitwa Hussein nikijiunga na mtandao wa Instagram nakuta tayari hussein ni username ya mwingine. Kwa kuwa nahiraji kutambulika kwa jina langu naweza kijisajili hata kwa Husayn ilimradi matamshi yasipotee.

Luck =Lucky
Kaa mbali sana na mwanamke anayeandika jina lake kwa staili hii akiamini amelipatia

- Mtu anaitwa Lilian yeye anajiandika Lilyan/Liliani au Lylyany.

- Janeth yeye anaandika Janethi/Janeti/Janethy

- Mary au Maria yeye anaandika Marry/Merri/Meli/Malia

- Priscilla/Priscillah anaandika Prisila/Pilisila/Plisla

- Mariam yeye anaandika Maryam/Mariamu/Maliam/Malyam

Watu dizaini hii mara nyingi wana uelewa (IQ) mdogo sana ama wa kurithi au wa wao wenyewe kukosa shule au exposure ya kutosha na ukikomaa naye labda kwa sababu ana kalio la kuvunja chaga basi lazima mtasumbuana tu hapo mbeleni.

Chukua hii utakuja kunishukuru.
 
Wanawake mwaka wenu huu, miss call 45 zimezuia jambi
 
Chief wanasaikologia sisi ndo tutaweza kukuelewa wengi watatoka kapa.
Ukitaka kujua tabia ya mtu KILA action yake yeyeto ni jibu la kujua haiba/tabia yake
 
Back
Top Bottom