United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vita zid ya kina dada imekua kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mateso yetu Mungu anayaona si bure ati![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vita zid ya kina dada imekua kubwa
Wengi wao wanalelewa na mashemeji,wazazi nk na wavaa suruali chini ya matako.Hata Wanaume wa hivyo wapo wengi tu.
Nikiwa km mchambuzi mkuu,Kaa mbali sana na mwanamke anayeandika jina lake kwa staili hii akiamini amelipatia
- Mtu anaitwa Lilian yeye anajiandika Lilyan/Liliani au Lylyany.
- Janeth yeye anaandika Janethi/Janeti/Janethy
- Mary au Maria yeye anaandika Marry/Merri/Meli/Malia
- Priscilla/Priscillah anaandika Prisila/Pilisila/Plisla
- Mariam yeye anaandika Maryam/Mariamu/Maliam/Malyam
Watu dizaini hii mara nyingi wana uelewa (IQ) mdogo sana ama wa kurithi au wa wao wenyewe kukosa shule au exposure ya kutosha na ukikomaa naye labda kwa sababu ana kalio la kuvunja chaga basi lazima mtasumbuana tu hapo mbeleni.
Chukua hii utakuja kunishukuru.