[emoji1787]Siki hizi jf imeingiliwa na watu waajabu...zaman ulikuwa ukisoma uzi unatoka na madini saiv wanaandika madudu ukisoma unatoka na majini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vinaendana mkuu IQ ikiwa ndogo form four hutoboiHv Elimu inakwenda sambamba ina IQ kweli?? Hakuna watu wenye elimu kubwa ila IQ ni ndogo??
Elezea tukio ulilopigwa tukuelewe.Kaa mbali sana na mwanamke anayeandika jina lake kwa staili hii akiamini amelipatia
- Mtu anaitwa Lilian yeye anajiandika Lilyan/Liliani au Lylyany.
- Janeth yeye anaandika Janethi/Janeti/Janethy
- Mary au Maria yeye anaandika Marry/Merri/Meli/Malia
- Priscilla/Priscillah anaandika Prisila/Pilisila/Plisla
- Mariam yeye anaandika Maryam/Mariamu/Maliam/Malyam
Watu dizaini hii mara nyingi wana uelewa (IQ) mdogo sana ama wa kurithi au wa wao wenyewe kukosa shule au exposure ya kutosha na ukikomaa naye labda kwa sababu ana kalio la kuvunja chaga basi lazima mtasumbuana tu hapo mbeleni.
Chukua hii utakuja kunishukuru.
Kaa mbali sana na mwanamke anayeandika jina lake kwa staili hii akiamini amelipatia
- Mtu anaitwa Lilian yeye anajiandika Lilyan/Liliani au Lylyany.
- Janeth yeye anaandika Janethi/Janeti/Janethy
- Mary au Maria yeye anaandika Marry/Merri/Meli/Malia
- Priscilla/Priscillah anaandika Prisila/Pilisila/Plisla
- Mariam yeye anaandika Maryam/Mariamu/Maliam/Malyam
Watu dizaini hii mara nyingi wana uelewa (IQ) mdogo sana ama wa kurithi au wa wao wenyewe kukosa shule au exposure ya kutosha na ukikomaa naye labda kwa sababu ana kalio la kuvunja chaga basi lazima mtasumbuana tu hapo mbeleni.
Chukua hii utakuja kunishukuru.
Chief wanasaikologia sisi ndo tutaweza kukuelewa wengi watatoka kapa.Kaa mbali sana na mwanamke anayeandika jina lake kwa staili hii akiamini amelipatia
- Mtu anaitwa Lilian yeye anajiandika Lilyan/Liliani au Lylyany.
- Janeth yeye anaandika Janethi/Janeti/Janethy
- Mary au Maria yeye anaandika Marry/Merri/Meli/Malia
- Priscilla/Priscillah anaandika Prisila/Pilisila/Plisla
- Mariam yeye anaandika Maryam/Mariamu/Maliam/Malyam
Watu dizaini hii mara nyingi wana uelewa (IQ) mdogo sana ama wa kurithi au wa wao wenyewe kukosa shule au exposure ya kutosha na ukikomaa naye labda kwa sababu ana kalio la kuvunja chaga basi lazima mtasumbuana tu hapo mbeleni.
Chukua hii utakuja kunishukuru.
Ngoja 40 ya misscall 45,ipite mtapumzikaDaaah tupumzisheni