Kaa mbali na Mwanamke asiyejua kuandika jina lake kwa usahihi

Nikiwa km mchambuzi mkuu,
Nimejaribu kuyatizama haya majina huko Facebook ambayo inasadikika kuwa sio sahihi, lkn nimekuta mamia ya watu wanayatumia ndani na nje ya Africa!
Sasa bas" ili kuepuka sintofaham, unatakiwa kuzipitisha threads zako kwangu kwanza ili nizithibishe kuwa ziko sawa au lah!.
Ahsante.
 
Kuna wale wanaandika lugha kama hizi:
  • xaxa, vipix mambox
  • mekula, melala,meshiba
  • ukimuuliza mambo anakujibu p.

Hao nao tuwafanyaje ?🐒
 
Demu asiyeweza kushika namba yake ya simu kichwani.
 
Kuna wale wanaandika lugha kama hizi:
  • xaxa, vipix mambox
  • mekula, melala,meshiba
  • ukimuuliza mambo anakujibu p.

Hao nao tuwafanyaje ?🐒
Haahaa hawa nao ni majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…