Kaaba Iko salama kiasi gani dhidi ya mashambulizi ya Wa-Houthi wa Yemen?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Wa-Houthi wa Yemen katika wiki za karibuni wamezidisha mashambulizi ya kijeshi ya makombora kwa nchi ya Ufalme ya Saudi Arabia wakipiga maeneo muhimu ya kimkakati katika taifa hilo ambalo wamekuwa wakipigania nalo vita kwa zaidi ya miaka kumi sasa.

Katika siku za hivi karibuni imeshuhudiwa Houthis wakipiga mashambulizi mfululizo viwanja vya ndege vya Saudi Arabia hasa uwanja mkubwa zaidi wa Saudi Arabia wa King Khalid International Airport ambapo imeshudiwa vifo na majeruhi wengi.

Katika hali hii ambapo hadi mahujaji wanashambuliwa katika viwanja vya ndege, Kaaba iko salama kiasi gani? Pia Umrah na Hija vitawezekana hii vita ikizidi kupamba moto zaidi?





Your browser is not able to display this video.
 
Angalieni wasije wakadondosha mabomu kulisambaratisha hilo sanamu la kaaba chukizo kwa Mungu
 
waislamu ni watu wabishi tukisema waislamu wana madhehebu wanabisha
 
Dunia ni mahali pazuri sana. Sisi wanadamu kwa ubinafsi na tamaa zetu ndiyo tunaoifanya dunia ionekane ni uwanja wa vita, fujo, magonjwa, njaa, mauaji, nk.
 
Dunia ni mahali pazuri sana. Sisi wanadamu kwa ubinafsi na tamaa zetu ndiyo tunaoifanya dunia ionekane ni uwanja wa vita, fujo, magonjwa, njaa, mauaji, nk.
Watu wanapigana kulipa visasi...

Piganeni nao kadri watakavyokupigeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…