Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...........mwenyewe.
Hii ingefika nadhani JF kabla hata shirika la habari le nje kuinyaka. Mimi nimekamatika na habari katika Gazeti la Habari Leo yenye kichwa cha habari "Simba yapokwa pointi za Azam", kitu kilichokuwa kinanishangaza kwanini Simba wanyang'anwe pointi kwa kuchezesha mchezaji mwenye kadi mbili za njano, wakati ni tatu. Lakini nilikasirika zaidi kuona vipi hawa viongozi wanarudia kosa lile lile lililotugharimu nyuma kwa kumchezesha Mgosi wakati alikuwa na kadi tatu. Mwisho wa habari nikakuta "Leo ni siku ya wajinga". Nikabaki nimenyong'onyea mbele ya Computer.
Samahani sana waungwana hivi leo ni tarehe ngapi?? Mwezi gani??
Afadhali ya Icadon katuzuga ktk siku husika na kwa muda mchache tuu. Lakini hawa watawala wetu wameamua kutuzuga kwa muda wa miaka zaidi ya 40. Du! waache basi, ujinga huwa ni siku moja tuu katika mwaka, sio kuwafanya watu wajinga milele.
Kwa hiyo Bongo kila siku ni siku ya wajinga. Hahaaa haa haaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!