Kaamua kujiuzulu

Kaamua kujiuzulu

Icadon

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2007
Posts
3,581
Reaction score
193
[ame=http://video.google.com/videoplay?docid=-6078828675018085870&hl=en]Kajiuzulu[/ame]

[ame=http://video.google.com/videoplay?docid=3888402001650522648&hl=en]Resignation[/ame]
 
Mkwere ajiuzulu, thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu......
 
hahahaha siku ya wajinga!wajinga ndo waliwao!mleta tetesi hapa umekosea wewe ndo umejifoule mwenyewe
 
Hii ingefika nadhani JF kabla hata shirika la habari le nje kuinyaka. Mimi nimekamatika na habari katika Gazeti la Habari Leo yenye kichwa cha habari "Simba yapokwa pointi za Azam", kitu kilichokuwa kinanishangaza kwanini Simba wanyang'anwe pointi kwa kuchezesha mchezaji mwenye kadi mbili za njano, wakati ni tatu. Lakini nilikasirika zaidi kuona vipi hawa viongozi wanarudia kosa lile lile lililotugharimu nyuma kwa kumchezesha Mgosi wakati alikuwa na kadi tatu. Mwisho wa habari nikakuta "Leo ni siku ya wajinga". Nikabaki nimenyong'onyea mbele ya Computer.
 
Happy fools day!!!!! Ila hii haijakaa vizuri, haijashtua sana maana si jambo la kutegemea Preside kujiuzulu. Leta nyingine.
 
Hii ingefika nadhani JF kabla hata shirika la habari le nje kuinyaka. Mimi nimekamatika na habari katika Gazeti la Habari Leo yenye kichwa cha habari "Simba yapokwa pointi za Azam", kitu kilichokuwa kinanishangaza kwanini Simba wanyang'anwe pointi kwa kuchezesha mchezaji mwenye kadi mbili za njano, wakati ni tatu. Lakini nilikasirika zaidi kuona vipi hawa viongozi wanarudia kosa lile lile lililotugharimu nyuma kwa kumchezesha Mgosi wakati alikuwa na kadi tatu. Mwisho wa habari nikakuta "Leo ni siku ya wajinga". Nikabaki nimenyong'onyea mbele ya Computer.

Duh... mzee nilijua niko peke yangu!!! nilianza kulaumu viongozi wanatuhujumu kumbe najihujumu mwenyewe

kweli wajinga ndio waliwao
 
Afadhali ya Icadon katuzuga ktk siku husika na kwa muda mchache tuu. Lakini hawa watawala wetu wameamua kutuzuga kwa muda wa miaka zaidi ya 40. Du! waache basi, ujinga huwa ni siku moja tuu katika mwaka, sio kuwafanya watu wajinga milele.
 
Kwa hiyo Bongo kila siku ni siku ya wajinga. Hahaaa haa haaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa ukisikia kuwa sisi ni wajinga, tukae kujadili topic kama hii! We are not serious! I am sure hata mafisadi wako serious kuliko sisi ndiyo maana wanatuibia!
 
Kuna thread moja yenye muelekeo mmoja na hii imefutwa/moved....hii vipi mbona bado ipo hapa...au...? issue siyo mada ila mleta mada...
 
Back
Top Bottom