Kabakwa live

Kaazi kwelikweli.....kila mmoja hapo alikuwa na hamu...hakuna aliyebakwa hapo
 
Uongo huu. Mguu hauhitaji kanga kuanguka ndio unyooke 90%. Lazima ulikuwa umenyooka wakati wote hii shughuli ya kisanii ya kuhamisha vitu ilipokuwa ikiendelea. Suala tu kuwa huyo bibie alikuwa na kanga moja bila kufuli ulitosha kabisa kutuma taarifa kwa gia ndogo ya fourwheel drive ili iwe tayari kwa shughuli.
 
kaka au wewe nini? angalia yasije yakakukuta yaliyomkuta fulani
 
alipoipata hakufanya ajizi,ukute hapo alikuwa na umero wa karne,si unaona anasema walinanihii kwa fujo umero huoooo:laugh:

hapana mkuu sio umero.inawezekana jamaa hakuwahi kua na wazo lakini opportunity ikajileta.si unajua "an opportunity of a life time should be seized within the life time of the opportunity"
 
Je Mzigo ulikuwa wa kiwango gani? navyojua mimi ku-engage gear ya four wheel drive lazima mind iwe imempa sifa mora kwa uumbaji, vinginevyo jamaa angejing'atua tu na huyo demu angemchukia na kumzushia visa kibao. WAsiwasi - palikuwa "SAFE"
 
Mbona stori yako haisemi kama jamaa alitoka kununua kondom ndo akachapa?
Unataka kusema huyo mama alimwita makusudi ali amwambukize Ngoma? Ungebadili Title ungeiita UWEZEKANO WA KUAMBUKIZWA UKIMWI KIRAHISI
 
hapa sina jibu:clap2:
 
Fumba macho..
 
Mbona stori yako haisemi kama jamaa alitoka kununua kondom ndo akachapa?
Unataka kusema huyo mama alimwita makusudi ali amwambukize Ngoma? Ungebadili Title ungeiita UWEZEKANO WA KUAMBUKIZWA UKIMWI KIRAHISI

Hata mie nimemshauri abadili title
 
Tupe updates, bado wanaendelea kusogeza kabati hadi mume wa huyo mama arudi au ilikuwa ni one time tu?
 
Smart woman.....li mwanaume linajidai halitaki....kuja kusogeza kabati linakuja.....mwanamke kavaa kanga moja humwambii vaa dira unajitumikisha tu......i ilike this type of womens,wanajua take advantage ya udhaifu wa wanaume.....l.o.l:laugh::laugh::laugh:
 
alipoipata hakufanya ajizi,ukute hapo alikuwa na umero wa karne,si unaona anasema walinanihii kwa fujo umero huoooo:laugh:
...Na nina uhakika kwa huo umero aliokuwa nao huyo jamaa na huyo mwanamke hakuna aliyemkumbusha mwenzake kutumia condom....majuto mkuu..:A S 20::A S 20:
 
General view hapa janvini ni kwamba mwanamke huwa haanzi kumtongoza mwanaume, na kwamba mwanamke hawezi kumbaka mwanaume. Sasa hapo vipi?
 
General view hapa janvini ni kwamba mwanamke huwa haanzi kumtongoza mwanaume, na kwamba mwanamke hawezi kumbaka mwanaume. Sasa hapo vipi?

JF kuna watu wanaishi kwa theories,i hate anything to do with general.....
mwanamke anaweza asikutongoze kwa maneno,but akakujengea mazingira ya wewe kutimiza malengo yake......wewe ukaanza ukaona umetongoza wewe kumbe umetongozwa indirectly.....it goes that way!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…