Kabakwa live

Kabakwa live

JF kuna watu wanaishi kwa theories,i hate anything to do with general.....
mwanamke anaweza asikutongoze kwa maneno,but akakujengea mazingira ya wewe kutimiza malengo yake......wewe ukaanza ukaona umetongoza wewe kumbe umetongozwa indirectly.....it goes that way!!

nakubali kabisa, kwa hiyo our problem is in the definition of what constitutes kutongoza au siyo?
 
Yule dada alidhani opportunities come by chance!!!! Opportunities are created bwana!!!! Asingemwita jamaa chumbani na kumtegatega angepata wapi huduma hii adhimu na adimu hasa kwa mtu kama yeye ambaye ni mke wa mtu!!!!
 
Jamaa yangu anapanga kwenye nyumba moja na mwanamke ambaye mmewe anasoma nje. Huyu mwanamwanamke amekuwa akitafuta namna ya kufanya ili apate huduma toka kwa huyu jamaa yangu lakini hakupata approach pia jamaa yangu huwa hagusi wake za watu. Sasa jana jioni, yule mwanamke alimwomba jamaa akamsaidie kupanga furniture chumbani. Yule mdada alikuwa amejifunga kanga ati anataka wakimaliza kupanga vitu aende kuoga. Mambo yakawa hivi: HIKI KITANDA NAOMBA TUSOGEZE HAPA, HILI KABATI LISOGEE NYUMA KIDOGO, NJOO UPANDE HUU TULIVUTE KABATI.... jamaa akawa anafanya kama alivyoambiwa. katika ule ubusy, si kanga ikadondoka, na tazama ndani hapakuwa na chupi wala kivazi chengine!! Jamaa anasema, ghafla mguu wake wa katikati ulinyooka 90° huku ukimvuta kuelekea pahala pasipo mguu maungoni mwa yule dada. Wakafanya hiyo shughuli nyingine kwa fujo sana. BAADA YA KUMALIZA, YULE DADA AKAMWOMBA WARUDISHE KITANDA NA KABATI KAMA VILIVYOKUWA MWANZO.

JE WEWE KAMA MWANAUME UNGEJIZUIAJE HAPA?

Can not buy this stuff ni Urongo huu......niliwahi kuusikia mahali
 
Jamaa hana huruma na mama wa watu, anajua kabisa jirani yake hajapata huduma muda mrefu akawa anampotezea tu. Jamani tuhurumiane, mtu anakula anashiba halafu hafanyi kazi unafikiri chakula kinaenda wapi?? Lazima mwili utahitaji mahitaji yake yote....
 
yaani ulipossema kubakwa nikazani mdada atambaka kumbe nduguyo ni yai sasa huo ugumu wa kuttolala na wake za watu umekufa ila ni kweli hapa duniani kulala na wake za watu aombe mungu mumewe asiwe wa kuumiza as atajutaaaaa na na hisi hawakutumia mpira labda mimba imeingia hapo au alijikinga?
 
Ngoja awe amenasa na mimba ndo patakuwa patamu hapo
 
Umeitunga vizuri hadithi yako. Inaelekea unaota mpangajo mwenzio afanye hivyo. Unaweza kunawa lakini usile.
 
Huyo jamaa kwa udhaifu aliouonyesha anaeweza hata kusaini hati ya nyumba kwa uyo mwanamke; kisa uroda wa kitonga (aka mteremko/free)
 
Jamaa inaonekana naye alikuwa anataka ila akakosa pa kuanzia sasa mwanamke alimrahisishia...maana hakuna na hisia na huyo mwanamke shughuli isingeweza kuanza kwa ghafla hivyo..na mguu wake wa katikati muda wote wanapanga pangua fanicha tayari ulikuwa umekasirika unasubiri kwann hautendewi haki.angeweza kupotezea.
 
Nadhani mkuu umechanganya habari, pengine heading hii sio ya habari hii. Mtu aliebakwa haezi omba aongezewe dozi acha uzushi wewe.
 
Jamaa yangu anapanga kwenye nyumba moja na mwanamke ambaye mmewe anasoma nje. Huyu mwanamwanamke amekuwa akitafuta namna ya kufanya ili apate huduma toka kwa huyu jamaa yangu lakini hakupata approach pia jamaa yangu huwa hagusi wake za watu. Sasa jana jioni, yule mwanamke alimwomba jamaa akamsaidie kupanga furniture chumbani. Yule mdada alikuwa amejifunga kanga ati anataka wakimaliza kupanga vitu aende kuoga. Mambo yakawa hivi: HIKI KITANDA NAOMBA TUSOGEZE HAPA, HILI KABATI LISOGEE NYUMA KIDOGO, NJOO UPANDE HUU TULIVUTE KABATI.... jamaa akawa anafanya kama alivyoambiwa. katika ule ubusy, si kanga ikadondoka, na tazama ndani hapakuwa na chupi wala kivazi chengine!! Jamaa anasema, ghafla mguu wake wa katikati ulinyooka 90° huku ukimvuta kuelekea pahala pasipo mguu maungoni mwa yule dada. Wakafanya hiyo shughuli nyingine kwa fujo sana. BAADA YA KUMALIZA, YULE DADA AKAMWOMBA WARUDISHE KITANDA NA KABATI KAMA VILIVYOKUWA MWANZO.

JE WEWE KAMA MWANAUME UNGEJIZUIAJE HAPA?

Angeweza tu kukimbia tu...Mbona Yusuph alikimbia tena akaacha na nguo yake! sembuse yeye amevaa suruali yake...na yeye tu alikuwa anatamani!
 
Jamaa yangu anapanga kwenye nyumba moja na mwanamke ambaye mmewe anasoma nje. Huyu mwanamwanamke amekuwa akitafuta namna ya kufanya ili apate huduma toka kwa huyu jamaa yangu lakini hakupata approach pia jamaa yangu huwa hagusi wake za watu. Sasa jana jioni, yule mwanamke alimwomba jamaa akamsaidie kupanga furniture chumbani. Yule mdada alikuwa amejifunga kanga ati anataka wakimaliza kupanga vitu aende kuoga. Mambo yakawa hivi: HIKI KITANDA NAOMBA TUSOGEZE HAPA, HILI KABATI LISOGEE NYUMA KIDOGO, NJOO UPANDE HUU TULIVUTE KABATI.... jamaa akawa anafanya kama alivyoambiwa. katika ule ubusy, si kanga ikadondoka, na tazama ndani hapakuwa na chupi wala kivazi chengine!! Jamaa anasema, ghafla mguu wake wa katikati ulinyooka 90° huku ukimvuta kuelekea pahala pasipo mguu maungoni mwa yule dada. Wakafanya hiyo shughuli nyingine kwa fujo sana. BAADA YA KUMALIZA, YULE DADA AKAMWOMBA WARUDISHE KITANDA NA KABATI KAMA VILIVYOKUWA MWANZO.

JE WEWE KAMA MWANAUME UNGEJIZUIAJE HAPA?
Hapo ni kutafuta wapi mlango ulipo, yaani ni kutoka mbio kama zile za kufukuza mwizi.
 
Back
Top Bottom