Kabakwa live

Kabakwa live

Naam mkuu, yule nilimpiga chini kisheria kabisa. Siuzi utumbo mimi. nzi sitaki kabisaaaa. Na sina mpango wa kuoa tena. Can you believe alikuwa akinitumia wadada tu ati ndo wanishauri nimrejee. Hadi nikahisi alikuwa anataka nilipize ili hasira ipungue. You cant believe ila mambo ndo yako hivo.
kamanda ile sredi yako ilinitouch sana na u made the right decision. yaani kuna viumbe wameletwa kuongeza idadi ya wazembe tu duniani. acha nistop kabla sjapanda hasira nikavunja skrini ya laptop
 
Duh Mkuu unaonyesha hasira sana.., kwanza mimi bado single.., ila siamini theory yako kwamba wanawake wote hawawezi kukaa muda mrefu bila kukutana kimwili na mtu (tena wanawake wanao uwezo kuliko wanaume).

Ni kwamba hakikisha kwamba mke wako anakuwa busy (anashughuli za kufanya na sio kukaa bila kazi) wanasema Idle Hands are Devils Plaything Sasa wewe kama unamwacha wife nyumbani anakuwa bored na neglected anaweza kuanza kuwaza vitu vya ajabu.., lakini kama wife ametulia hili halina shaka..

Hata wewe jaribu kuwa busy na occupied..., hata Mabinti wanaweza wakawa wanapita usiwaangalie mara mbili. Mkuu kama Alikutenda Mmoja Usiichukie Dunia Nzima..., wazuri wapo tu tena wengi.
Mkuu, sikatai kuwa kuna baadhi waaminifu but their number is negligible. Pia umesema ukweli mtupu kuwa nina hasira. Yaani haya mambo yanahitaji personal experience. Hutaamini mtu akikwambia ila nakuombea sana yasikukute
 
Pole sana...ukimwomba Mungu nawe utapata aliye mwaminifu!

Halafu huwa inauma zaidi wewe unapokuwa mwaminifu na ukamwomba Mungu akakupa mtu uliyeridhika naye kabisa na unamwamini asilimia zote na si wewe tu hata ndugu zako wanamkubali, then balaa likitokea ndo utaelewa. otherwise huwezi amini kama utakuwa cheated on
 
Mkuu, sikatai kuwa kuna baadhi waaminifu but their number is negligible. Pia umesema ukweli mtupu kuwa nina hasira. Yaani haya mambo yanahitaji personal experience. Hutaamini mtu akikwambia ila nakuombea sana yasikukute

Ni kweli Mkuu, wabaya wapo na mazingira yanachangia.., ndio maana kila siku ninasema kwenye ndoa inabidi tuangalie mengi zaidi ya mvuto wa sura, tuangalie pia na tabia ya mtu na ana upendo gani kwako..

Sababu wife mwenye busara hawezi akaweka hatiani heshima yake, na kuvunjika kwa ndoa na familia sababu ya anasa za muda mchache ambazo zinazuilika
 
kamanda ile sredi yako ilinitouch sana na u made the right decision. yaani kuna viumbe wameletwa kuongeza idadi ya wazembe tu duniani. acha nistop kabla sjapanda hasira nikavunja skrini ya laptop

Bwana klorokwini, yule kiumbe amenifanya niamini hadi sasa kwamba the strongest man is he who stands alone. I f I fall, I will fall alone for so did i come out of my mother's womb. Attachment to a spouse is one of the most serious pathologies one can develop
 
Ni kweli Mkuu, wabaya wapo na mazingira yanachangia.., ndio maana kila siku ninasema kwenye ndoa inabidi tuangalie mengi zaidi ya mvuto wa sura, tuangalie pia na tabia ya mtu na ana upendo gani kwako..

Sababu wife mwenye busara hawezi akaweka hatiani heshima yake, na kuvunjika kwa ndoa na familia sababu ya anasa za muda mchache ambazo zinazuilika

Hicho ni ndo cha muhimu!!!

Jamani...niwatakieni usku mwema wooote! Bless you all!
 
Bwana klorokwini, yule kiumbe amenifanya niamini hadi sasa kwamba the strongest man is he who stands alone. I f I fall, I will fall alone for so did i come out of my mother's womb. Attachment to a spouse is one of the most serious pathologies one can develop

Mkuu hapo ninakubaliana na wewe kwamba you should sometimes expect the unexpectable and wish for the best.., lakini sio kuishi in fear of the inevitable...., trust mmhh sometimes you can not even trust oneself.., Thats life we human beings are full of weaknesses lakini tusihukumu mtu kabla ya kufanya kosa
 
Kimsingi ukimwacha mkeo zaidi ya miezi miwili kama yuko below 40 utakuta amechakachuliwa mara nne minimum. Ila anakuwa bado yuko intact na huwezi kujua kwa sababu ukikaribia kurudi huwa wanastop two weeks before your arrival. Yaani huwezi kudoubt chochote. Kwani haupo tz tangu lini ili nikupigie calculations za michakachuo iliyofanyika. Just kupima tu ajali mana kutokea ishatokea kaka.

Tafadhali ndugu usitupandishe Pressure!, hata hivyo tunafuatilia kwa makini hili tukio
 
Back
Top Bottom