Hajagain ugonjwa wowote. Kwa kawaida, mke anayekupenda sana hatafanya bila kinga tena kwa uangalifu mkubwa. Ila kudhani kwamba hatafanya ni ndoto za abunwasi. Hata mimi sipendi kabisa kushare ndio mana nilimpiga talaka mke wangu ila hapa naeleza hali halisi ya mambo mkuu. Jipe moyo.
Duh Mkuu unaonyesha hasira sana.., kwanza mimi bado single.., ila siamini theory yako kwamba wanawake wote hawawezi kukaa muda mrefu bila kukutana kimwili na mtu (tena wanawake wanao uwezo kuliko wanaume).
Ni kwamba hakikisha kwamba mke wako anakuwa busy (anashughuli za kufanya na sio kukaa bila kazi) wanasema
Idle Hands are Devils Plaything Sasa wewe kama unamwacha wife nyumbani anakuwa bored na neglected anaweza kuanza kuwaza vitu vya ajabu.., lakini kama wife ametulia hili halina shaka..
Hata wewe jaribu kuwa busy na occupied..., hata Mabinti wanaweza wakawa wanapita usiwaangalie mara mbili. Mkuu kama Alikutenda Mmoja Usiichukie Dunia Nzima..., wazuri wapo tu tena wengi.