Kabakwa live

mung wangu msije mkawa mmesha mnanii shemeji yangu nyie uwiii!
 
Duh wanawake ndivyo wananvyotongoza wewe hujui unasema kubakwa.
 
Inavyoonesha hata Kinga hawakukumbuka kutumia :hatari:
 
Kaka ebu nidokeze imetokea wapi hii ishu??? Naona kama inanigusa??? Ni bongodaresalaam, arusha au?????? TAFADHALI SANA NAOMBA UNIJUZI. KAMA NI BONGO NI MAENEO GANI??
Ni kwenye ile nyumba uliyopanga kaka ila usiogope you have lost nothing!!
 
Hiyo ni balaa kweli kweli.... mwanangu tumeumia kwa jinsi hii!!!!!
Kimsingi ukimwacha mkeo zaidi ya miezi miwili kama yuko below 40 utakuta amechakachuliwa mara nne minimum. Ila anakuwa bado yuko intact na huwezi kujua kwa sababu ukikaribia kurudi huwa wanastop two weeks before your arrival. Yaani huwezi kudoubt chochote. Kwani haupo tz tangu lini ili nikupigie calculations za michakachuo iliyofanyika. Just kupima tu ajali mana kutokea ishatokea kaka.
 
 

Kwa hiyo Mkuu huwa unakwenda na wife sehemu zote..?
Angalia usije pata ugonjwa wa moyo kwa hofu.
Mi ninavyodhani akiamua na akiwa mapepe hata safari ya kwenda sokoni na saloon anaweza akakutana na watu zaidi ya watano chini ya masaa mawili na usijue kitu..,
 
 
 
 

The Following User Says Thank You to VoiceOfReason For This Useful Post:

Keren_Happuch (Today)​
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…