Kabakwa live

 
 
Pole sana...ukimwomba Mungu nawe utapata aliye mwaminifu!

Halafu huwa inauma zaidi wewe unapokuwa mwaminifu na ukamwomba Mungu akakupa mtu uliyeridhika naye kabisa na unamwamini asilimia zote na si wewe tu hata ndugu zako wanamkubali, then balaa likitokea ndo utaelewa. otherwise huwezi amini kama utakuwa cheated on
 
 
 
 

Mkuu hapo ninakubaliana na wewe kwamba you should sometimes expect the unexpectable and wish for the best.., lakini sio kuishi in fear of the inevitable...., trust mmhh sometimes you can not even trust oneself.., Thats life we human beings are full of weaknesses lakini tusihukumu mtu kabla ya kufanya kosa
 

Tafadhali ndugu usitupandishe Pressure!, hata hivyo tunafuatilia kwa makini hili tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…