Kabendera amechukua "risk" iliyopitiliza. Atawaambia nini watu endapo Ben Saanane au Azory Gwanda watarejea uraiani?

Mimi sijui.lakini alivyosema kabendera kuwa alipigwa risasi na magufuli mwenyewe haiingii akilini kabisa.

..Kabendera anadai Magufuli alipandwa hasira aka-loose control na kumpiga risasi Ben Saanane. Pia anadai Magufuli alijutia tukio la kumpiga risasi na kumuua Ben Saanane.
 

..muda wote huu wanaendelea kushikiliwa kwa amri ya nani, na kwa malengo gani?
 
Ila Atakuwa amewaweza sana Waliowaficha
 

There is jo coming back.
 
Na je kama hawajatokea??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…