Kabendera amechukua "risk" iliyopitiliza. Atawaambia nini watu endapo Ben Saanane au Azory Gwanda watarejea uraiani?

Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Lini watarejea?....
 
Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi
Hata serikali kupitia waziri wa mambo ya nje wa wakati ule, Palamagamba Kabudi iliwahi kukiri kuwa Azory Gwanda alikwishafariki..
 
Warejee kutoka wapi? Wakiwaje?
Sikilizeni CCM iwe imehusika, serikali iwe imehusika au haijahusika,
Hao kenge wameshalala kitambo sana. Wote wafu, msijipe presha za bure. Kuna vitu vya kudeal navyo.
 
Umeshaambiwa Bwana amemshuti Ben Saanane,
Sasa atarudi vipi?
Haya mambo irrelevant,yanaleta distraction.
What does it matter if someone shot Ben or ordered him to be shot?
Utazame ule Mkutano wa Dodoma wa CCM.
Very important meeting,hasa ikiwa huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu.
Important meeting, probably already choreographed, from the first word to the last word that will be spoken there.
 
Warudi kutokea wapi?

Hao ni wameuliwa muda mrefu na hata hao kina Soka ndio imetoka hivyo.

Hiki kisa cha rais kumleta ikulu mkosoaji wake na kumpiga risasi si cha kwanza EA.

Miaka ya 90 kulikuwa kuna waziri Kenya ana nguvu sababu ya kutokea ukanda mmoja [kabila moja ] na Daniel Arap Moi alikuwa akiiitwa Nicolas Biwott huyu ndio aliyemchukua nyumbani aliyekuwa waziri wa wakati huo wa mashauri ya mambo ya kigeni aliyeitwa Dr Robert Ouko mpaka ikulu na Moi alimpiga risasi na mwili wa Dr Ouko ulirejeshwa hadi karibu na nyumba yake na wakauunguza upande mmoja , mchungaji wake wa mifugo ndio alipouona mwili shambani ilhali lile eneo walilizungukia takriban siku 5 kabla bila kumpata.

Scotland Yard walifanya uchunguzi ila serikali ya Moi iligomea kutolewa ripoti ya mwisho ya uchunguzi wa lile tukio na hata tume za ndani 5 tofauti zilizoundwa hazikuwahi kuleta majibu ya uchunguzi wao ila ukweli bado ulijulikana aliyemuua Dr Robert Ouko kupitia washirika wa karibu wa Nicolas Biwott.
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Ina maana katupa jiwe gizani? Lakini tunavuna tunacho kipanda Ndiyo madhala ya kuchelewa kwa majibu ya maswali jamii, CCM wanaunda tume nyuma ya mikamera Lakini majibu nyuma ya pazia
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Anaweza kua Muongo kupitiliza, lkn hawezi kumpita katelephone, Yule bwana ilitakiwa apewe tuzo yake
 
Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Atapeleka lawama zote kwa hao informers wake

Huyu bwana anadai alisimuliwa tu na watu kutoka serikalini na pia upande wa upinzani kwamba hao watu walipigwa shaba na kutupwa mto Rufiji ili maiti zao ziliwe na mamba
IMG_6052.jpeg
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
" Cloning" ni aghali mno, ijapokuwa inaweza kumtengeneza mtu "identical" na yule aliye halisia. Lakini ni rahisi kwa wa karibu kumshtukia mtu aliyekuwa "cloned"

Kwa kawaida hawana ujoto wa asili wa kibinadamu, nikisema hivyo natambua akinamama wananielewa. Ni uzao wa kimaabara ambao upo "programmed" ili uwe ku "adopt" uhalisia.

Sayansi ya sasa inaweza kutambua mtu aliyekuwa "cloned" kutokana na "human differences" kama vile "perception, personality, emotion, e.t.c"

Kama wapendwe wakirudi huku wakiwa "cloned" itakuwa ni rahisi sana kuling'amua jambo hilo. Kwa jinsi ambavyo naitambua serikali ya CCM, inaweza kuingia katika biashara hii kichaa ili waweze kukwepa aibu.
 
Ben Saanane atoke wapi wakati Kabendera kaonyeshwa hata maiti yake ilikotupwa?

Mpaka Generali wa jeshi alikuwa anamuogopa Magufuli. Mzee alikuwa shida sana.
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Endapo atarudi Tanzania anastahili kushitakiwa kwa kuichafua nchi.
 
Back
Top Bottom