Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujui kuwa hutakufa 100% inawezekana ukaingia gharama kuamka, kupiga pasi nguo, kuoga, ili uende kazini kwenye mkutano, halafu ukafa kabla ya kutoka nje ya mlango wako.Hakuna gharama yoyote mimi kuamka, zaidi sana ni faida, ni safe bet.
Hayo mambo ya nyota ni uongo na ujinga tu.Magufuli alikuwa na Nyota ya ng'e (scorpio), watu wa Nyota hii ndio wanaongoza kuua watu wengine (serial killers).
Kama kuna watu 10 waliowahi kuua watu wengine, basi watu 7 mpaka 8 kati ya hao wauwaji utakuta wana Nyota hii ya scorpio.
Ni watu wanaopenda vita, wanaongozwa na sayari ya Mars (mungu wa vita).
Rais wa Marekani wa Sasa naye ana Nyota kama hii ya Magufuli.
Wamejaariwa akili sana, kati yao wapo wanaopenda sana kusali.
Ni wapelelezi kwa asili, wanapenda sana tendo la ndoa na kula vizuri
Kuna uwezekano Magufuli alifanya makosa haya anayotuumiwa nayo
Hakuna cha kupoteza mkuu mtu kuamka kila siku na kupambania maisha, Kabendera ana cha kupoteza endapo Ben na Azory watarejea.Kama hujui kuwa hutakufa 100% inawezekana ukaingia gharama kuamka, kupiga pasi nguo, kuoga, ili uende kazini kwenye mkutano, halafu ukafa kabla ya kutoka nje ya mlango wako.
Sasa kama kuna uwezekano wa kufa hivyo, kwa nini uamke na kupiga pasi nguo, na kuoga?
Sasa huoni kuwa unaweza kutumia nguvu kubwa sana kulima leo ili uvune miezi sita ijayo wakati wewe na familia yako yote ikafa kesho?Hakuna cha kupoteza mkuu mtu kuamka kila siku na kupambania maisha, Kabendera ana cha kupoteza endapo Ben na Azory watarejea.
Unadhani walifariki ktk mazingira gani?Hao wa kina beni saanane watakuwa walishafariki lakini kufariki kwao siyo kama alivyosema huyu muhuni na kibaraka wa wazungu kabendera kuwa amepigwa na mafufuli
Pia watu wengi wenye Nyota ya mapacha (gemin) ndiyo wanaongoza kusema hakuna Mungu.Hayo mambo ya nyota ni uongo na ujinga tu.
It's some astrology bullshit.
Thibitisha.Pia watu wengi wenye Nyota ya mapacha (gemin) ndiyo wanaongoza kusema hakuna Mungu.
Ni watu wenye akili kupita kiasi, wanaongozwa na mercury (sayari ya mawasiliano), muda mwingi wanapenda kuwasiliana na watu wengine.
Kwa sababu ya hizo akili zao nyingi huwa hawaoni tabu kusema hadharani Mungu hayupo (hakuna Mungu).
Alikuwa nayo ila alikuwa mwema sana hawezi kumpiga mtu risasiKwani hakuwa mikono huyu magufuli ya kufyatua risasi?!
Sikiliza mahojiano yake vizuri..Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.
Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Relax my friend and keep on learning.Thibitisha.
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.
Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.