Kabendera amechukua "risk" iliyopitiliza. Atawaambia nini watu endapo Ben Saanane au Azory Gwanda watarejea uraiani?

Ni ngumu kupata uhakika wa 100% kwamba hutakufa siku yoyote ile.

Je, hilo linamaanisha usiamke kitandani?
Hakuna gharama yoyote mimi kuamka, zaidi sana ni faida, ni safe bet.
 
Hao wa kina beni saanane watakuwa walishafariki lakini kufariki kwao siyo kama alivyosema huyu muhuni na kibaraka wa wazungu kabendera kuwa amepigwa na mafufuli
Walifariki vipi? Una uhakika gani?
 
Hakuna gharama yoyote mimi kuamka, zaidi sana ni faida, ni safe bet.
Kama hujui kuwa hutakufa 100% inawezekana ukaingia gharama kuamka, kupiga pasi nguo, kuoga, ili uende kazini kwenye mkutano, halafu ukafa kabla ya kutoka nje ya mlango wako.

Sasa kama kuna uwezekano wa kufa hivyo, kwa nini uamke na kupiga pasi nguo, na kuoga?
 
Magufuli alikuwa na Nyota ya ng'e (scorpio), watu wa Nyota hii ndio wanaongoza kuua watu wengine (serial killers).

Kama kuna watu 10 waliowahi kuua watu wengine, basi watu 7 mpaka 8 kati ya hao wauwaji utakuta wana Nyota hii ya scorpio.

Ni watu wanaopenda vita, wanaongozwa na sayari ya Mars (mungu wa vita).

Rais wa Marekani wa Sasa naye ana Nyota kama hii ya Magufuli.

Wamejaariwa akili sana, kati yao wapo wanaopenda sana kusali.

Ni wapelelezi kwa asili, wanapenda sana tendo la ndoa na kula vizuri

Kuna uwezekano Magufuli alifanya makosa haya anayotuumiwa nayo
 
Hivi azory yeye alifanya nini?! Ya kabendera tunayajua
 
Wakati huo watu watakuwa wanawatazama akina Ben, hawatakuwa na muda na Kabendera.
 
Kabendera mpaka akafikia hatua ya kuandika haya hajapayuka tu wala kukurupuka. Amekutana na watu mbalimbali walio relevant na kukusanya data.
 
Magufuli alikuwa na Nyota ya ng'e (scorpio), watu wa Nyota hii ndio wanaongoza kuua watu wengine (serial killers).

Kama kuna watu 10 waliowahi kuua watu wengine, basi watu 7 mpaka 8 kati ya hao wauwaji utakuta wana Nyota hii ya scorpio.

Ni watu wanaopenda vita, wanaongozwa na sayari ya Mars (mungu wa vita).

Rais wa Marekani wa Sasa naye ana Nyota kama hii ya Magufuli.

Wamejaariwa akili sana, kati yao wapo wanaopenda sana kusali.

Ni wapelelezi kwa asili, wanapenda sana tendo la ndoa na kula vizuri

Kuna uwezekano Magufuli alifanya makosa haya anayotuumiwa nayo
Hayo mambo ya nyota ni uongo na ujinga tu.

It's some astrology bullshit.
 
Kama hujui kuwa hutakufa 100% inawezekana ukaingia gharama kuamka, kupiga pasi nguo, kuoga, ili uende kazini kwenye mkutano, halafu ukafa kabla ya kutoka nje ya mlango wako.

Sasa kama kuna uwezekano wa kufa hivyo, kwa nini uamke na kupiga pasi nguo, na kuoga?
Hakuna cha kupoteza mkuu mtu kuamka kila siku na kupambania maisha, Kabendera ana cha kupoteza endapo Ben na Azory watarejea.
 
Sasa huoni kuwa unaweza kutumia nguvu kubwa sana kulima leo ili uvune miezi sita ijayo wakati wewe na familia yako yote ikafa kesho?
 
Hao wa kina beni saanane watakuwa walishafariki lakini kufariki kwao siyo kama alivyosema huyu muhuni na kibaraka wa wazungu kabendera kuwa amepigwa na mafufuli
Unadhani walifariki ktk mazingira gani?
 
Hayo mambo ya nyota ni uongo na ujinga tu.

It's some astrology bullshit.
Pia watu wengi wenye Nyota ya mapacha (gemin) ndiyo wanaongoza kusema hakuna Mungu.

Ni watu wenye akili kupita kiasi, wanaongozwa na mercury (sayari ya mawasiliano), muda mwingi wanapenda kuwasiliana na watu wengine.

Kwa sababu ya hizo akili zao nyingi huwa hawaoni tabu kusema hadharani Mungu hayupo (hakuna Mungu).
 
Thibitisha.
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Sikiliza mahojiano yake vizuri..

Walipigwa risasi kwa uhakika, wakafa...

Kama watarudi, basi na yeye Pombe Magufuli atafufuka..!

Hawa wote wako huko kwenye huo ulimwengu mwingine. Bila shaka zinapigwa huko..
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.

ila atakuwa amesaidia wao KUPATIKANA!
 
Back
Top Bottom