Kabidhi Imani yako kwa Marafiki ila siyo Ndugu wenye Chuki, Dharau na Unafiki

Tuache kudanganya "Hakuna mwema kwenye maisha" it all matter of instrest.
 
Yote hayo yanasababishwa na mambo mawili tu: roho masikini na roho tajiri. Ukiwa na roho ya korosho, hata uwe na utajiri kiasi gani, hutafurahishwa na maendeleo ya nduguyo, rafiki yako, au hata mtu asiyekuhusu. Bali mwenye utajiri wa roho, hata asipokuwa na utajiri wa mali, huwapenda ndugu zake, rafiki zake na hata watu wasiomhusu. Huyu katika jamii, yuko radhi atoe hata kidogo alicho nacho kwa asiye nacho ili wote msafiri pamoja na kutomuacha yeyote nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…