COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,603
- 3,658
Kila siku Polisi wamekuwa wakiomba raia ushirikiano kuwataja hao watu wasiojulikana.
Nyie watu " MSIOJULIKANA" mnataka nini nchini kwetu? Mmetokea wilaya gani au mkoa gani? Au nyie ni wahamiaji haramu.
Aaaaghhrrrrrr nyie WATU MSIOJULIKANA tuachieni nchi yetu bwana, mnafanya tuishi kwa hofu.