Kabila jipya la watu " WASIOJULIKANA" ni hatari sana

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,603
Reaction score
3,658
4B5343E9-1F9D-4AE2-9BCE-3196D46E90F3.jpg
Hili kabila, linateka, linaua, linajeruhi n.k n.k.
Kila siku Polisi wamekuwa wakiomba raia ushirikiano kuwataja hao watu wasiojulikana.
Nyie watu " MSIOJULIKANA" mnataka nini nchini kwetu? Mmetokea wilaya gani au mkoa gani? Au nyie ni wahamiaji haramu.
Aaaaghhrrrrrr nyie WATU MSIOJULIKANA tuachieni nchi yetu bwana, mnafanya tuishi kwa hofu.
 
View attachment 583892 Hili kabila, linateka, linaua, linajeruhi n.k n.k.

Hili kabila litajulikana tu .Muda unasubiriwa.
 
View attachment 583892 Hili kabila, linateka, linaua, linajeruhi n.k n.k.
Kila siku Polisi wamekuwa wakiomba raia ushirikiano kuwataja hao watu wasiojulikana.
Nyie watu " MSIOJULIKANA" mnataka nini nchini kwetu? Mmetokea wilaya gani au mkoa gani? Au nyie ni wahamiaji haramu.
Aaaaghhrrrrrr nyie WATU MSIOJULIKANA tuachieni nchi yetu bwana, mnafanya tuishi kwa hofu.
Baba J anahusika hapo.
 
Back
Top Bottom