Kabila kubwa kwa kila nchi ya Afrika. TZ duh!!!!

Ni Africa au Sub Sahara?
Kwenye hiyo ramani visiwa vya comoro viko wapi!
Zanzibar!
Kuna mapungufu mengi.
Kwani point yako ni nini Mkuu?
 
Upuuzi tu.

Watu wanajadili maendeleo na teknolojia karne hio unaleta habari za makabila.

Grow up dude.
 
Upuuzi tu.

Watu wanajadili maendeleo na teknolojia karne hio unaleta habari za makabila.

Grow up dude.
Izo ni facts tu kama tukisema tuna simba; kwani nimesema Usukuma ndo uwe default idenitity ya watz?? Tumieni akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…