Kabila la Wairaki tufahamiane hapa

Kabila la Wairaki tufahamiane hapa

Habarini ndugu jamaa na marafiki mliopo humu JF...
Mimi kijana wenu nmegundua kuwa kabila letu wairaki kama tupo wachache sana hapa nchini...
Ningependa tufahamiane humu vizuri....
Seyuu
 
Wewe ni Desiri au Garmaæ kwanza nataka nijuê... khaë
 
Ninachojua wairaq sio wabantu...
 
Haidoma
Sema mi muiraq wa town
Najuaga mpaka hapo tuu
Jitahidi ujue kikwenu mkuu...
Town sio tatizo. Ukiambiwa watu wengine wamekulia central halafu lugha zinapanda utashangaa.

Napenda kujua lugha nyingi saana ni raha pia. Hata kama uliishi mazingira yasiyozungumzwa hiyo lugha ila ungejitahidi hata shuleni kuongea na wenzako.
 
Mkuu ndo maana nkaandaa haka kauzi.
Natamani nikijue...
Shule nilizosoma sijawahi kutana na muiraki hata mmoja... Najikutaga mwenyewe tuu
 
Back
Top Bottom