Kabila la Wairaki tufahamiane hapa

Kabila la Wairaki tufahamiane hapa

wairaqw ni watanzania halisi,origin yao ilikuwa kwa wahabesha wa ethiopia
 
Naomba nisijibu hapa. Ila jua kuna wanawake wazuri na wa kawaida kawaida. [emoji40][emoji40]
 
Yes wanapatikana Mbulu na Karatu....yaani ukipita Endamarariek...Bashay, Kambi ya nyoka, Hydom, Mang'ola ndio mahali pao pa kujidai...

Ila ndo hao hao wanasema mbulu wilaya kabila ndo wairaq ila wanapatikana mbuluu
 
Back
Top Bottom