Kabila la Wairaki tufahamiane hapa

Kabila la Wairaki tufahamiane hapa

Yes wanapatikana Mbulu na Karatu....yaani ukipita Endamarariek...Bashay, Kambi ya nyoka, Hydom, Mang'ola ndio mahali pao pa kujidai...
Kuna msemo pale Karatu wanasema guest nyingi kuliko nyumba za kuishi.

Anzia kwa sulle Miami yote ile aseeh hawa madesiri waache tu.
 
Habarini ndugu jamaa na marafiki mliopo humu JF...
Mimi kijana wenu nmegundua kuwa kabila letu wairaki kama tupo wachache sana hapa nchini...
Ningependa tufahamiane humu vizuri....

Ukiona Watu wapo wachache jua ni dalili mojawapo ya kuwa na roho mbaya hivyo Mwenyezi Mungu anaona asiwaleteni sana duniani ili msije kuwa Kero iliyotukuka Kwetu.
 
Yes wanapatikana Mbulu na Karatu....yaani ukipita Endamarariek...Bashay, Kambi ya nyoka, Hydom, Mang'ola ndio mahali pao pa kujidai...
Katesh, hanang',bbt, bashinet, mang'ola etc
 
Kiiraqw ni lugha pekee hapa tanzania ambayo watumiaje wake wenyewe kuiandika ni ishu (ngumu)japo kwenye mazungumzo mtu unaweza jiachi vilivyo.
 
Habarini ndugu jamaa na marafiki mliopo humu JF...
Mimi kijana wenu nmegundua kuwa kabila letu wairaki kama tupo wachache sana hapa nchini...
Ningependa tufahamiane humu vizuri....
Umesahau mkuu na nyie ni wanafiki,wambeya,waongo,wafitini,na uzuri wote ni wenu makabila mengine ni wabaya,mmesahau kuwa hamkutokea hapa?ukifanya kazi na hili kabila ni shida sana tena nyie ni wakabila na watu wabaya kabisa!
 
Duuuh mbona mimi hizo tabia sina mkuu
 
Umesahau mkuu na nyie ni wanafiki,wambeya,waongo,wafitini,na uzuri wote ni wenu makabila mengine ni wabaya,mmesahau kuwa hamkutokea hapa?ukifanya kazi na hili kabila ni shida sana tena nyie ni wakabila na watu wabaya kabisa!
[emoji15] mmmmmmh ndugu yangu!!! una ugomvi nao nn??
 
Back
Top Bottom