Kabila la "WAIRAQ" kutoka "ARUSHA"

Kabila la "WAIRAQ" kutoka "ARUSHA"

Status
Not open for further replies.
Ubaguzi ni kitu ambacho hatuna kabisa kama jamii .. please kama umeamua ku judge basi
Judge kila mtu kivyake usituchanganye ..
Everyone is different ..

Afodenzi saita, ankuth'aa lowa'ale.
 
Nawe mtou mada

Sisi wenye kabila hili hatuta back down. Tutasimamia kitete na kusema na kutetea kabila letu .. kwani kabila ndo tamaduni na mila yetu.

Na lazima iwe isiwe utapata majibu ambayo ni negative ... like you know everybody is in title for there opinion.

Kumbuka kabila ni moja Bali kila mtu amekulia familia, mazingira tofauti.
Sasa kama huyo wako ni mwema basi Shukuru
na kama ni shang'alabagala kaa chini ulie au
bounce ...

Hii tabia ya kusema nampenda ila Kabila lake nataka kujua kwanza ..."ni full utahira " we unaoa kabila au mwanamke? ... I'm out.

Kila lakheri na kuchokonoa makabila ..


PS .. kuna vitu muhimu vyako kuangalia kwa mwanamke kuliko kabila ..
 
Sio WAIRAQ ni WAIRAQW.

Yaap.....!!! u got it.... ni Wairaqw.... Waremboooooo naturally.....most weupe... soft hair... macho kama waarab fulani hivi... waremboooo duuuhh....
 
Karibu sana Yego..tumejaa tele kuanzia Manyara, Karatu, Mbulu, Rhotia, Hydom,Dongobesh, Basotu, Katesh, Endasaki, Mamaisara, Dareda etc.....ushindwe wewe tu!!


Umalaya ni tabia ya mtu..sura, nywele,rangi tumejaaliwa..miguu no comments🙂) Ukikutana na mie usijechanganyikiwa, ha ha!!

Asanteeeeeee BB ..
 
Niambieni ni kabila gani haina mapungufu?
 
duh, mkuu kama unataka kuoa kabila utatafuta sana coz kila kabila lina mapungufu yake, hata hvyo ww ndio unamjua huyo bi mdada kuliko mtu yeyote, kama kweli unammpenda na yy anakupenda haya maswala ya kabila tupa kuleee kwa sabab cku hz hayahusu. watu wanachanganyika siku hz sio kama zaman. zaid mshirikishe mungu, yy anaona kuliko sisi wote.
 
Mkuu warangi wako upande wa wabantu..Katika Tanzania makabila ambayo sio wabantu ni hao wa mbulu au wa iraq kwa jina lingine na wamasai ila makabila yote yaliobaki ni wabantu.Fanya marekebisho hapo mkuu.
Mkuu, sina uhakika na Wanyaturu.
Ila Wairaqw ni wahamiaji, hawa wamesafiri toka pande za kaskazini mashariki mwa Afrika na kujikuta wake-settle huku Afrika ya Mashariki. In fact hawa ni Wakushi (Cushites) na si Hamites kama nilivyoandika hapo awali. Kuna kabila lingine dogo lenye Uhusiano na Wairaqw, wanaitwa Wambugu. Hawa wanaishi kata za Malinndi na Kwai wilayani Lushoto, Tanga, sura zao la lugha yao haina tofauti na hawa Wairaqw na chanzo chao ni kimoja.

 
Kwa urembo ni warembo kwelikweli, mengine sitayasema naogopa kusutwa
Acha hizo ww mtoto wa kipare, ucpende kuwachafua wenzako..! Mbona nyinyi mnavua nanihii kwa sana tu kuanzia himo mpaka hedaru hatusemi...lol.
 
Ngoja Dr Slaa awasikie kama hajawapokonya kadi hujui ndo kabila lake.Ngoja nikimbie zangu
 
bampami!

Sitasema mengi sana kwa thread yako!
Ila ningependa nimwunge Triple A mkono ya kwmb wengi wamo wenye tabia mbovu kupindukia ila haina haja ya kuwataja!

Kwa kifupi sana ni kwamba,kila mtu na tabia yake na hasa kipindi hk cha utanda wazi nakwambia Ndg yangu.

We cha maana ni kama umemwona anayekufaa we nenda naye na hata mtangulize MUNGU kwn yeye ndiye anayekupa Mke ama Mme mzuri.

Tafakari sana kabla!
 
Ngoja Dr Slaa awasikie kama hajawapokonya kadi hujui ndo kabila lake.Ngoja nikimbie zangu

niliwahi kulala lodge moja arushe na shemeji yenu alikuwa anaishi mitaa hiyo,wahudumu wake walikuwa wairaqwi. Nilikuwa nikitoka nje kidogo tu,tunatoka wote. Nilipomuuliza vp,akanieleza anaogopa kupokwa na wahudumu wa pale. Alinaambia wanaitwa njia ya vumbi!..
 
Wapo zaidi mkoa wa Manyara,katika wilaya za Babati Mjini na Vijijini, Mbulu na Hanang'. Arusha wapo Karatu.

Hakika ni wazuri. Ila naona jamii yao kama wana katabia ka ubaguzi hivi kwa wale wasio wa kwao! Nimekaa sana pale Babati Mjini,ambapo kuna wafiome (jamii hiyo hiyo ya wairaqw - kama wanyamwezi na wasukuma),kule Dareda,Bashnet,Madunga,Qameyu hadi Merr. Kwa kweli nilikuwa naona hiyo dhana ya ubaguzi. Sasa kama ukiweza kuoa fahamu tu hilo.

"Ubaguzi" huo ni natural kwa viumbe hai, ikiwamo binadamu. Wairaqw ni kati ya makabila machache Tanzania wasiyokuwa na asili ya Kibantu. Wamezungukwa na non-cushitic, nilotic and Bantu ethnic groups kila pembe. Kwa hiyo huo "ubaguzi" ni mkakati tu wa kulinda gene pool yao isiharibiwe na non-cushitic peoples, haswa Wabantu.
 
Karibu sana Yego..tumejaa tele kuanzia Manyara, Karatu, Mbulu, Rhotia, Hydom,Dongobesh, Basotu, Katesh, Endasaki, Mamaisara, Dareda etc.....ushindwe wewe tu!!

Mwanangu nimekuchungulia. Lol, umenikimbia Baba yako. Mzima lakini?

Umalaya ni tabia ya mtu..sura, nywele,rangi tumejaaliwa..miguu no comments🙂) Ukikutana na mie usijechanganyikiwa, ha ha!!

Mwanangu nimekuchungulia. Umenisusa Baba yako lol! Mzima lakini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom