DASA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 1,031
- 302
Ubaguzi ni kitu ambacho hatuna kabisa kama jamii .. please kama umeamua ku judge basi
Judge kila mtu kivyake usituchanganye ..
Everyone is different ..
Afodenzi saita, ankuth'aa lowa'ale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubaguzi ni kitu ambacho hatuna kabisa kama jamii .. please kama umeamua ku judge basi
Judge kila mtu kivyake usituchanganye ..
Everyone is different ..
Sio WAIRAQ ni WAIRAQW.
Sayu ,sayuAfodenzi saita, ankuth'aa lowa'ale.
Mmmhhhhh!!!!!Yaap.....!!! u got it.... ni Wairaqw.... Waremboooooo naturally.....most weupe... soft hair... macho kama waarab fulani hivi... waremboooo duuuhh....
Karibu sana Yego..tumejaa tele kuanzia Manyara, Karatu, Mbulu, Rhotia, Hydom,Dongobesh, Basotu, Katesh, Endasaki, Mamaisara, Dareda etc.....ushindwe wewe tu!!
Umalaya ni tabia ya mtu..sura, nywele,rangi tumejaaliwa..miguu no comments🙂) Ukikutana na mie usijechanganyikiwa, ha ha!!
Sayu ,sayu
Dasa lawayok?
Anaka yaa kung'uu Garma oohh Ako? 🙂
Mkuu, sina uhakika na Wanyaturu.
Ila Wairaqw ni wahamiaji, hawa wamesafiri toka pande za kaskazini mashariki mwa Afrika na kujikuta wake-settle huku Afrika ya Mashariki. In fact hawa ni Wakushi (Cushites) na si Hamites kama nilivyoandika hapo awali. Kuna kabila lingine dogo lenye Uhusiano na Wairaqw, wanaitwa Wambugu. Hawa wanaishi kata za Malinndi na Kwai wilayani Lushoto, Tanga, sura zao la lugha yao haina tofauti na hawa Wairaqw na chanzo chao ni kimoja.
Acha hizo ww mtoto wa kipare, ucpende kuwachafua wenzako..! Mbona nyinyi mnavua nanihii kwa sana tu kuanzia himo mpaka hedaru hatusemi...lol.Kwa urembo ni warembo kwelikweli, mengine sitayasema naogopa kusutwa
Ngoja Dr Slaa awasikie kama hajawapokonya kadi hujui ndo kabila lake.Ngoja nikimbie zangu
Wapo zaidi mkoa wa Manyara,katika wilaya za Babati Mjini na Vijijini, Mbulu na Hanang'. Arusha wapo Karatu.
Hakika ni wazuri. Ila naona jamii yao kama wana katabia ka ubaguzi hivi kwa wale wasio wa kwao! Nimekaa sana pale Babati Mjini,ambapo kuna wafiome (jamii hiyo hiyo ya wairaqw - kama wanyamwezi na wasukuma),kule Dareda,Bashnet,Madunga,Qameyu hadi Merr. Kwa kweli nilikuwa naona hiyo dhana ya ubaguzi. Sasa kama ukiweza kuoa fahamu tu hilo.
Sayu ,sayu
Dasa lawayok?
Anaka yaa kung'uu Garma oohh Ako? 🙂
Sio WAIRAQ ni WAIRAQW.
Karibu sana Yego..tumejaa tele kuanzia Manyara, Karatu, Mbulu, Rhotia, Hydom,Dongobesh, Basotu, Katesh, Endasaki, Mamaisara, Dareda etc.....ushindwe wewe tu!!
Mwanangu nimekuchungulia. Lol, umenikimbia Baba yako. Mzima lakini?
Umalaya ni tabia ya mtu..sura, nywele,rangi tumejaaliwa..miguu no comments🙂) Ukikutana na mie usijechanganyikiwa, ha ha!!