Kabila lako limetoa mtu gani maarufu?

Kabila lako limetoa mtu gani maarufu?

Magufuli Rais,Jaji mkuu Nyalali,wanasheria wakuu:Marc Bomani,Chenge,Feleshi.
Naibu Gavana wa benki kuu Bob Makani,
Mkuu wa majeshi Mabeyo.
Bila kumsahau mtoto wa dandu,dudubaya na wengine weeengi including mimi mwenyewe simba jike.
Wasukuma Oyeeeeee.
 
Magu ni Mzinza aliyekulia usukumani.
 
Back
Top Bottom